Mbali na Kuwepo kwa adhabu kali kwa wazazi wanaosababisha
utoro mashuleni kwa wtoto wao,bado
utoro mashuleni kwa wtoto wao,bado
umeendelea
kushusha kiwango cha ufaulu wilaya ya Mbogwe
mkoani Geita kutokana na wazazi wengi

Kushindwa
kutoa ushirikiano wakutosha kwa walimu.
kutoa ushirikiano wakutosha kwa walimu.
Wakizungumza na TKT RADIO Renatus mwakalembe ambae ni Afisa mtendaji kata ya Ikunguigazi,Amesema
utoro katikashule za msingi
utoro katikashule za msingi
na sekondari,
bado ni tatizo kubwa kwani umekuwa ukichangiwa na baadhi ya wazazi kuwazuia watoto
kwenda shule na kutowafatilia maendeleo yao ya kimasomo.

Hatahivyo Mwakalembe
amewatahadharisha wazazi ambao mpakasasa watoto waohawajaripoti shuleni kujiunga
na

Kidato
cha kwanza mwaka huu hatua kalizakisheria zitachukuliwa dhidiyao.

Aidha
kwa baadhi ya wazazi Jumainne Manyasa
na Tadeo Swele wamesema chanzo kikubwa ni umbali wa kutoka
nyumbani kwenda shuleni inaweza kuwa sababu ya utoro kwa watoto wao,Ingawa na
umbali upo mrefu kisiwe chanzo kwa watoto na wazazi kuto fuatilia swala la
elimu.

Kwa upande wake mwalimu mkuu
wa sekondari
ya Ikunguigazi ndg.Stephano Kusana ameelezea
ukubwa wata tizo la utoro katika shuleyake

ambapo
idadi ya waliofeli katika mitihani ya Taifa ya kidato cha Pili na cha Nne wengiwao
walikuwa watoro.

Na
Nichoraus Lyankando Mbogwe Geita.
Nichoraus Lyankando Mbogwe Geita.