Shule ya msingi IGOGO imevuka
lengo la uandikishaji wa watoto wa
Darasa la awali kwa kuandikisha wanafunzi 288 badala ya 215.

Hayo yamebainishwa na
mwalimu mkuu msaidizi wa shule IGOGO Bi,ESTHER
JOSHUA ambapo amesema idadi kubwa ya watoto wa awali imeongezeka huku akidai
kuwa lengo lao limefanikiwa kwa zaidi ya asilimia therathini.

Hata hivyo Bi JOSHUA
amesema ili kuahakikisha idadi ya watoto
inaongezeka lazima washirikiane viongozi wa Serikali za mitaa kwa ajili ya kutambua idadi ya watoto wenye
umri wa miaka minne hadi miaka mitano hao ambao bado hawajaandikishwa darasa la
awali.

Kutokana na idadi kubwa
ya wanafunzi wa awali Bi JOSHUA amewaomba
wadau mbalimbali wa elimu kufika katika shule hiyo na kutoa michango kwani bado
inakabiliwa na upungufu wa miundo mbimu.

Aiha zoezi hilo bado
linaendelea la uandikishwaji wa watoto wa awali mpaka march 30 mwaka huu.

Na Deborah