Vituo vya
Radio nchini vimetakiwa kuwajibika kikamilifu kutoa vipindi vinavyohamasisha makuzi na malezi bora ya mototo.

Hayo
yamezungumzwa na MARIA NGOMBALE pamoja
na SEMBONANGA JUMA ambao ni wazazi na walezi kutoka Manispaa ya Morogoro ambapo
wamesema vituo vingi vya Radio kwa sasa vimekua havitoi nafasi kubwa ya vipindi
vyenye maudhui mazuri kwa watoto tofauti na miaka ya nyuma.

MARIA
NGOMBALE amevisihi vituo vya Radio kuweka mkazo vipindi vya watoto vyenye
maudhui ya msingi na kwa wakati badala ya kucheza nyimbo zenye maadili mabaya
kwa watoto.

Tanzania
Kids Time imezungumza na baadhi ya watoto wanaoishi Morogoro OSCAR MATAIMBA na JOEL PHILIPO, wamesema katika
vipindi vya watoto Redioni wamekua wanasikiliza muziki kwa wingi hivyo
wanashindwa kupata wanachostahili kutoka
kwenye vipindi vya Radio vyenye maudhui yanayowalenga na kuwasihi waendeshaji
wa vipindi vya watoto kuboresha maudhui ya vipindi vyao.

RAMADHANI
CHIGALU ni mwandishi wa Habari na mtangazji kutoka Morogoro anakili vipindi vya
watoto kutopewa nafasi kubwa katika mzunguko wa vipindi vya Radio lakini
vilivyopo vinafanyika kwa uhakika na watanagazaji wanatimiza jukumu lao pamoja
na uwepo wa teknolojia ya sasa ambayo ndio imebadili mfumo wa uendeshaji
vipindi vya Radio.

CHIGALU
amewataka wazazi na walezi kuendelea kusikiliza vipindi vya Radio vya watoto
ili kufanyia kazi maudhui yanayotolewa.

Mwaka huu wa
2020 kaulimbiu ya siku ya Radio inasema,TUNASHEREHEKEA
NGUVU YA RADIO KUTAFAKARI NA KUKUZA UTOFAUTI WA AINA ZAKE ZOTE.

Pia ujumbe
kutoka kwa mkurugenzi wa shirika la Umoja wa mataifa la Elimu,sayansi na
utamaduni UNESCO. Bwana AUDREY AZOULAY katika kuadhimisha siku hii ya Radio
unasema, mbinu tofauti za kusambaza taarifa kupitia redio iwe ni katika mita
bendi ya AM au FM au kwa kupitia teknolojia za kidijitali au kwenye wavuti
zinaendana na utofauti katika yaliyomo kwenye programu ambazo zinazalishwa na
wingi wa maoni, utamaduni na yale yanayotangazwa.

Na Hamad Rashid-Morogoro