Takribani Million
kuminanne lakinane na ishirini Elfu zimetumika mkoani Morogoro katikaununuzi wa
mafutayakupaka kwa watoto wenye ualbino.

Hayoyamebainishwa
na Mwenyekiti wa Chama cha watuwenye Ualbino mkoa wa Morogoro (TAS) HASSAN MIKAZI kwa mahojiano maalum na TKT/UN RADIO ilikujua wilaya ya Kilosa imesaidiwaje
katika fedhahizo.

Aidha MIKAZI alisema TAS imekuwaikisaidia watoto
wenye Ualbino ikiwamwa kawa 2019, wilaya ya Kilosa ilitumia kiasicha shilingi Lakisita
kwa kununua vifaa kwa watuwenye Ualbino, hukushuleyamsingi Mazinyungu iliyopo Wilayani
humo ikifaidika nafedhahizo.

TKT/UN RADIO iliamua kufikampaka katika shule ya Msingi
Mazinyungu iliyopo Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro na kukutana na uongozi wa
shule hiyo pamoja na wanafunzi wenye Ualbino
ilikubaini mahitaji yao miongoni kati yahayo ni, Miwani yakujikinga na jua,Vikuzia
mandishi ubaoni,Mafuta na Vitumbalimbali.

AZIZI MSAFIRI nimwanafunzi mwenye Ualbino
katika shulehiyo amesema kuwa serikali huwasaidia maramojamoja, hivyo amewaomba
wadau kuendelea kuwasaidia kwani wanahitaji vifaa vingi kulingana nahali waliyonayo.

“Sisitunamavaziyetubinafsikwakipindi cha juakamakuvaamashatiyamikonomirefu,
Surualindefunakofiakwaajiliyakujikinganajuahuwatunanunuawenyewetu” Alisema Azizi Msafiri.

Kwaupande wake, Mwalimu Mkuu wa Kitengo cha Elimu
Maalum katika shule ya Msingi Mazinyungu ALLY
NKURU amesema, licha ya kuwepo kwa changamoto kwa wanafunzi wenye Ualbino,
wengiwao wana uwezomzuridarasani kwaniwanaomaliza Elimu ya msingi wanafanikiwa kujiunga
nasekondari.

“mbali nahilo zipochangamoto zingine kama vile kuchelewa kwavitabu, walimu wachache pamoja naidadi
yawanafunzi kuwa kubwa hivyo inawawia vigumuwaalimu katika ufundishaji”alisemaAlly Nkuru

ASAJILE
MWAMBAMALE ambayeni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauriya Wilaya
ya Kilosa ameelezea mikakati yao katika kushughulikia suala la mahitaji yawanafunzi
wenye Ualbino kwenye halmashauri hiyo kwamba Bajeti ya Serikali kutoka Ofisi ya
Rais tawala zamikoa na Serikali zamitaa TAMISEMI wanatenga fungu kwaajili ya wanafunzi
hao wenye mahitajimaalumu.

“tunapataluzuku mojakwamoja tumekua tukipata takribani
zaidi ya Milioni miamoja na ishilini kwa ajili yawanafunzi wenye mahitaji maalumu
wakiwemo watoto wenye Ualbino”Amesema ASAJILE
MWAMBAMALE.

Pia Mwenyekiti wa Kamati ya shule hiyo Hamidu Ally amesema Bajeti ya Serikali haikidhi
mahitaji ya wanafunzi wenyemahitaji maalumu, kwasiku hadi siku inaendelea kupunguzwa,
hivyo wadau mbalimbali waendelee kujitokeza kwaajili ya kulisaidia kundi hilo
la watoto wenye mahitaji maalumu ilikuwasaidia kutimiza ndoto walizo nazo.

Hatahivyo Mwenyekiti wa Chama cha watuwenye Ualbino mkoa wa Morogoro
(TAS), HASSAN MIKAZI amewaomba wadau mbalimbali,Mashirika
binafsi,Watu watakao guswa wajitokeze kuchangia watoto wenye Ualbino waliopo shuleni
ilikupata vifaa vinavyo hitajika kwa kilasiku, kwani fungu la pesa linalo tengwa kwa
Mkoa wa Morogoro bado halikidhi mahitaji kwa watu wenye Ualbino.

Na: John Kabamabala-Kilosa Morogoro.