Wananchi katika
kata ya KAZAROHO wilaya ya KALIUA mkoani TABORA wameazimia kutoa mchango wa
shilingi elfu mbili mia tano kwa ajili ya kuanza ujenzi wa vyumba viwili vya
madarasa shule ya sekondari KAZAROHO.

Awali akisoma
taarifa ya miradi iliyopo katani humo Afisa mtendaji wa kata ya KAZAROHO, OMARY
MASAKA amesema upungufu wa vyumba viwili vya madarasa shule ya sekondari
KAZAROHO ndiyo sababu ya kuwataka wananchi kutoa mchango wa shilingi 2500 kwa
ajili ya ujenzi.

Amesema kutokana na
gharama za mchango kuwa kiasi kidogo ametoa mwito kwa wananchi kuwa wepesi wa
kutoa mchango huo.

WILIAMU SIMON ni
mkazi wa kijiji cha KAZAROHO amesema kutokana na shule ya sekondari kupokea
wanafunzi kutoka kata jirani ya USIMBA ameomba pia wananchi wa kata hiyo
kushiriki kwenye mchango huo huku afisa mtendaji wa kata akisema mchango huo
utahusisha wananchi wa kata mbili za KAZAROHO na USIMBA.

THERESIA SOTERI ni
mkuu wa shule ya sekondari KAZAROHO amesema wanafunzi wanaotarajia kujiunga na
kidato cha kwanza mwaka huu ni 187 huku akibainisha uhitaji wa madarasa.

Kwa mjibu wa
makubaliano ya wananchi mwisho wa kutoa mchango huo ni March 30 mwaka huu.

Na:Simon Jumanne – Tabora