Jeshi la zima moto
na uokoaji kwa kushirikiana na Dawati la jinsia pamoja na Idara ya maendeleo ya
jamii katika wilaya ya KALIUA mkoani TABORA limeanza kutoa elimu ya kinga na
tahadhari ya majanga ya moto kwa wananchi.

Kaimu kamanda wa
jeshi la zima moto na uokoaji wilaya ya KALIUA, SAJENTI GODFREY MAGANGA amesema
kupitia mikutano ya hadhara amewataka wazazi kuwa karibu na watoto kwa
kuwakanya kuogelea na kucheza karibu na madimbwi akiongeza kwa kusema elimu
hiyo wamekuwa wakiitoa kwa wanafunzi mashuleni.

Akizungumza kwa
niaba ya mkuu wa idara ya maendeleo ya jamii mratibu wa mfuko wa wanawake,
vijana na walemavu Wilaya ya KALIUA,
ANTONY NSOLLO amesema kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani KALIUA
wameamua kutoa elimu ya malezi kwa wazazi ili kuepusha vifo vitokanavyo na
watoto kudumbukia kwenye madimbwi hatimaye kufa.

Mmoja wa wananchi
walioshiriki kwenye mkutano uliofanyika katika kata ya KALIUA, VAILETH LUSESA
ameomba elimu hiyo iwe endelevu.

Nao LUDOVICK KULWA
na NEEMA MSANGI wamesema elimu hiyo itakuwa na tija katika jamii.

Jeshi la zimamoto
na uokoaji wilaya ya KALIUA kwa kushirikiana na dawati la jinsia pamoja na
idara ya maendeleo ya jamii wilayani hapa limetoa elimu ya kinga na tahadhari
ya majanga ya moto katika kata za USHOKOLA, KALIUA na UFUKUTWA.

Na: Simon Jumanne Kaliua