Wastani wa watu milioni 10 waliugua ugonjwa wa
kifua kikuu (TB) ulimwenguni kwa mjibu wa shirika la Afya duniani WHO . Wanaume
milioni 5.7, wanawake milioni 3.2 na watoto milioni 1.1, na jumla ya watu milioni 1.5 walikufa kutokana na ugonjwa huo
mnamo mwaka 2018 (pamoja na watu 251,000
wenye VVU), Ulimwenguni pote taarifa hiyo imebainisha kwamba, Kifua kikuu ni
moja ya sababu 10 za vifo na sababu inayoongoza kuambukiza kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwamwingine (juu
ya VVU / UKIMWI).

Aidha Watoto milioni 1.1 waliougua ugonjwa wa Kifua Kikuu
ulimwenguni, kati yahao watoto 205,000 walifariki
dunia kwa sababu ya TB (pamoja na watoto walio na VVU). Kifua kikuu cha watoto
na vijana mara nyingi hupuuzwa na watoa huduma za afya na inaweza kuwa ngumu
kugundua na kutibu.

Hatahivyo kwa mwaka 2018 who ilibainisha kuwa nchi 30 zenye idadi kubwa kuwa na wagonjwa wa Kifua Kikuu zilikuwa
na asilimia 87 yamaambukizi mapya ya kifua kikuu. Nchi nane zinachukua theluthi
mbili kati ya hizo ni India inayoongoza kwahesabu, ikifuatiwa na, Uchina,
Indonesia, Ufilipino, Pakistan, Nigeria, Bangladesh na Afrika Kusini.
Mkakati wa Kifua Kikuu who nikuhakikisha
inapunguza maambukizi mapya yakifua kikuu kwa watoto na watu wazima kwa 4-5% ya
kila mwaka kufikia mwishoni2020.

Kukomesha janga la TB ifikapo 2030 ni kati ya
malengo ya kiafya ya Malengo ya Maendeleo Endelevu SDGs. kutibu watu milioni 40 kwa ugonjwa wa Kifua kikuu katika
kipindi cha miaka 5 20182022

Who iliweka wazi badgeti yao kuwa zinahitajika dola
bilioni 13 za Marekani kila mwaka ilikusaidia kufanya utafiti ilikubaini
wagonjwa wapya wa kifua kikuu, matibabu na utunzaji ifikapo 2022.