Wenyeviti
pamoja na wawakilishi wa Kamati za Shule za Msingi za Serikali
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro wamekutana na Uongozi wa Halmashauri ya
Manispaa ya Morogoro kwa ajili ya kujadili mwenendo wa utoaji wa Taaluma na
changamoto zake.

Akizungumza
na Waandishi wa habari mgeni rasmi katika mkutano huo, Mstahiki Meya wa
Manispaa ya Morogoro, Mhe. Pascal Kihanga, kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya
Morogoro, amesema majadiliano yatokanayo na kikao ndio yatakuwa maamuzi ya moja
kwa moja kwa ajili ya maendeleo ya elimu katika Manispaa ya Morogoro.

Kihanga,
amesema Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ilikuwa kinara kwa miaka yote
katika matokeo ya mitihani ya kumaliza elimu ya msingi lakini ilipofika mwaka
2017 hali ya matokeo ilianza kubadilika kwa kuwa nyuma ya Halmashauri za Ulanga
na Malinyi.

Amesema
kuwa ufaulu ulikuwa ukiongezeka mwaka hadi mwaka isipokuwa mwaka 2019 ulishuka
kutoka asilimia 88.13 mwaka 2018 hadi kufikia asilimia 87.74 mwaka 2019.

“miongoni
mwa sababu zilizosababisha kushuka kwa ufaulu ni pamoja na Ongezeko kubwa
la uandikishaji wa Wanafunzi kufuatia utekelezaji wa dhana ya Elimu bila
malipo ambapo ongezeko hilo halijaenda sambamba na idadi ya miundombinu
ya madarasa iliyopo pamoja na kukosekana mitihani ya mara kwa mara ya majaribio
ambapo hapo awali ilikuwa ikidhaminiwa na michango ya wazazi kabla ya kuanza
kwa elimu msingi bila malipo” amesema.

Kwa
upande wa Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro, Michael Waluse, amesema
yale yote waliyoyajadili katika kikao hicho watakwenda kuyafanyia kazi.

lengo la kukutana ni kuona ni kwa namna gani Kamati za shule zinakwenda
kushirikiana na waalimu na wazazi ili kuboresha na kuinua viwango vya
ufaulu na kupata matokeo chanya katika Manispa ya Morogoro.

“Tuanze
hapa tulipo kama wenzetu wameweza sisi tunashindwaje? nafikiri hiki ni kikao
halali cha maamuzi ya pamoja , haiwezekanai Manispaa yetu tushike nafasi ya
tatu tushindwe na Halmashauri za pembezoni ambazo zina chanagmoto nyingi,
tubadilike sasa tuendelee kushikamana na nyie mliokuja leo muwe mabalozi wa
kusambaza taarifa hizi kwa wenzenu ili tupige hatua matokeo hayaridhishi
tukibwetea sana tutaikosa hata hiyo nafasi ya tatu tutazidi kushuka jambo
ambalo litakauwa ni aibu kwa sisi tulio mjini ” Amesema Waluse

Hata
hivyo Afisa Elimu Msingi Manispaa ya Morogoro Abdul Buhety amesema kitendo cha
wanafunzi kutoka saa 9 mchana kinapelekea wanafunzi wengi kutorudi nyumbani na
matokeo yake wanaishia katikati na kufanya mambo ya ajabu.

wamechukua jitihada nyingi sana za kuhakikisha ufaulu unaongezeka lakini wapo
watu wachache ambao ni waharibifu lakini watashughulikiwa ili maendeleo
ya Elimu katika Manispaa ya Morogoro yaongezeke.

“Sina
hakika sana hawa wanaowashtaki walimu wakuu ni wazazi au la pengine inawezekana
watoto zao wanasoma shule za kulipia au watoto wao hawana akili sasa wanataka
kuwaambukiza watoto wengine, niwaombe ndugu zangu tuwekeze katika elimu
tusipokubali kubadilika sisi wazazi hata watoto wetu hawawezi kubadilika,
kitendo cha kuwastaki walimu kwa vikao halali mlivyokubaliana sio
jembo jema” Amesema Buhety.

Na; Shua Ndereka-Morogoro.