Afisa lishe mkoani
Kagera Bw,Yusuf Hamis ameiambia Tanzania Kids Time kuwa moja ya sababu kubwa
inayoelekea mkoa huo kukabiliwa na utapiamulo ni kutokana na kutokutolewa
kwa fedha zinazotengwa na halmashauri
kwa ajili ya afua za lishe, kama miongozo ya wizara inavyoelekeza kwa kila mtoto
mwenye chini ya umri wa miaka 5 kutengewa fungu kwa ajili lishe.

Aidha baadhi ya maafisa
lishe Zena,Robson na Norah Nyakunga wa halmashauri za mkoa wa Kagera wamedai kuwa
kutokutolewa kikamilifu kwa fedha hizo kunasababisha shughuli zilizopagwa kwa ajili ya lishe zisifanyika kwa
wakati,kwani hakuna kazi ambayo inaweza kufanyika hivyo
nakushindwa kufikia malengo .

Hatahivyo katibu tawala mkoa wa Kagera ambaye
pia
ni wenyekiti wa kamati ya lishe Prof.Faustine Kamuzola amewataka wakurugenzi wa halmashauri kuweka
kipaumbele suala la lishe kama yalivyo masuala mengine na kuagiza fedha
zinazotengwa kutolewa kwani udumavu wa Watoto utaathiri kizazi hiki na najambo
hili linauchafua mkoa wa Kagera.

Wadau mbalimbali wanaopambana kutokomeza utapiamlo
mkoani humo moja wapo ni Dr,Magrety
Ishengoma mtaalam wa mabadiliko ya lishe kutoka shirika la IMA World Health yeye amesema kwa mwaka huu wa 2020 fedha ambayo
imekwisha tolewa ni milioni miasita.

Udumavu unatajwa kumuathiri mtoto kimwili na kiakili
ambapo uwezo wake wa kufikiri na kuchanganua mambo hasa awapo darasani unakuwa mdogo
ukilinganisha na yule asiye na utapiamlo,ili
kutokuruhusu hali hiyo kumkabili mtoto, ni lazima lishe izingatiwe ndani ya
siku elfu 1 tangu kutungwa kwa mimba hadi miaka 2.

Na. Rosemary Bundala-Kagera.