Mratibu
wa kudhibiti UKIWI mkoani Kagera ambaye ni Daktari wa magonjwa ya watoto katika
hospitali ya Rufaa ya Bukoba, Jonasy Kessy
amesema watoto 6,690
wanakadiriwa kuwa na maabukizi ya Virus vya UKIMWI, ambao waliofikiwa ni 3,627 sawa na
asiliima 57%,Amaeongeza
kuwa watoto wanaotumia dawa za kufubaza virusi vya UKIWI ni 3,617 sawa na
asiliima 97%
ya waliogundulika kuwa na VVU na waliofubaza virusi vya ukimwi ni 2,769 sawa na
asiliima 76%

Aidha
Dr.Kessy amesema kuwa uchunguzi uliofanywa na idara hiyo umebaini kuwa asilimia
kubwa ya watoto hao wamepata maabukizi kutoka kwa mama kwani baadhi yao
hawafiki kwenye vituo vya kutolea huduma za afya kupata ushauri kabla ya kubeba
mimba, na wengine walibeba mimba bila ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya
jambo ambalo litahatarisha maisha yao zaidi,

“Mwanamke
mwenye virus vya UKIMWI kama hatumii dawa vizuri na hafuati maelekezo ya
wataalam ikiwemo kuwahi Kliniki kupimwa wingi wa Virus na Kutumia dawa kwa
usahihi wanaiweka kwenye hatari ya kupata VVU mimba”alisema.

Hata
hivyo Masudi
Rashidi kutoka katika manispaa ya Bukoba amewashauri wanawake walio na
maambukizi ya vvu wanapaswa kuzingatia mafundisho ya wataalamu wa afya hasa
kabla na baada ya kujifungu ili watoto wao wasipate maambukizi,kwani maambukizi
mengi yanatoka kwa mama na mtoto.

Baadhi ya wanawake katika manispaa hiyo wameishauri serikali kwa sharti
la kutotajwa majina yao wamesema kuna haja ya wanawake na vijana wa kike
kufundishwa kuhusu elimu ya maambukizi,kwani walio wengi hawana ufahamu wa
kujikinga na mimba na kuwakinga watoto wao walioko tuboni kuhusu vvu,na
ilikufisha elimu hiyo kwa urahisi kwenye jamii vitumike vyombo vya habari yani
Redio za kijamii,majarida maalumu,magazeti na ziandaliwe semina ngazi ya
mitaa,mikutano ya vijiji pamoja na kusabaza vipeperushi vyenye ujumbe wa
masuala ya uzazi kwa mama mwenye VVU ili kuepusha maambukizi mapya.
Dr.Kessy amesema kuwa bado upo unyanyapaa mkubwa
kwa watoto wenye VVU ngazi ya familia na jamii unaosababishwa na wanafamilia
kwa kuwaficha na kushindwa kutumia dawa kwa usahihi na kuanza kushabuliwa na
magonjwa mengine yanayohatarisha afya zao na kushindwa kumudu kushiriki haki
zao ikiwemo haki ya kielimu.

Ilikusikiliza Sauti bofya hapa https://soundcloud.com/user-844878552/sets/watoto-6690-wanakadiriwa-kuwa-na-virus-vya-ukimwi-kagera
Na.Rosmary
Eliasi-Kagera.