Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na
Watoto Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii imebariki kuanza kwa Msafara wa
kitaifa wa wa kijinsia wenye lengo la kutokomeza ukatili wa kijinsia.

Akizungumza
na wawakilishi wa Wizara, Wadau kutoka Legal Services Facility, Wildaf
na wasanii wa muziki wa kizazi kipya jijini Dodoma, Kaimu Katibu Mkuu
Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii Bw. Leonard Mchau amesema msafara huo
umeandaliwa maalum kupeleka ujumbe wa kupambana na ukatili wa kijinsia
kuelekea maadhimisho ya kitaifa ya Siku ya Wanawake Duniani.

Bw.
Mchau amewaasa wawakilishi hao wa Msafara huo kupeleka ujumbe huo ambao
utasaidia kuendeleza mapambano ya kutokomeza vitendo vya ukatili nchini
ambavyo vimekuwa vikishamiri kila siku katika jamii.

Ameongeza
kuwa Serikali imeweka mkazo katika kuhakikisha vitendo vya ukatili wa
kijinsia vinatokomea kwa kasi ili watoto na wanawake wanaoathirika na
vitendo hivyo kuoondokana na vitendo hivyo vinavyowanyima baadhi ya haki
zao msingi.

kwa naiaba ya Wadau Mwakilishi wa Shirika la LSF Bw. Joseph Magazi
ameishukuru Serikali kwa kuwashirikisha wadau katika kampeni ya
kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia na wameahidi kuendelea
kushirikiana na Serikali katika mapambano hayo.

Msafara
huu tayari umeanzia katika mkoa wa Katavi wilaya ya Mpanda tarehe
24/02/2020 na kuendelea hadi tarehe 05/03/2020 ambapo utahitimishwa
mkoani Simiyu.

Na; Shua Ndereka-Morogoro