Serikali Mkoani
Njombe imeshauriwa kuimarisha ulinzi katika shule na vituo vya kulea watoto
wenye Ualbino, kwa kuwajengea Uzio utakaosaidia ulinzi, usalama, kuwakinga na
maadui.

Kauli hiyo
imetolewa na baadhi ya wachungaji Kutoka kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) mkoani Njombe akiwemo Melinze
Tweve, baada ya kuzungumza na TKT/UN Radio kuhusiana nna usalama wa watoto hao
katika kuelekea kipindi cha Uchaguzi mkuu 20202, ambaye amesema uzio
unapojengwa au kuzungushwa katika shule utasaidia ulinzi juu ya watoto wenye
Ualbino.

“watu wanaamini imani potofu ndiyo maana wanafanya mauaji ya watu wenye Ualbino,
mambo ya mila wanadanganywa na waganga wa kienyeji kwamba utajiri unapatikana
kwa njia hiyo lakini utajiri unapatikana kwa kumtegemea Mungu” amesema

Mchungaji Gervas Chanyama wa kanisa hilo pia amesema kujenga uzio itasaidia
kuzuia watu wabaya ambao bado wanaimani potofu juu ya watu wenye Ualbino, hivyo
serikali iendelee kuweka ulinzi juu ya watoto na watu wote.

“kuwepo na uelimishwaji wa jamii yetu ili wajue watoto hawa wanahitaji
kulindwa, kuheshimiwa na kupata malezi bora hivyo kujengwa kwa Uzio kutasababisha
kuwepo lango kuu ambalo litakuwa na ulinzi ambao utasaidia kuepusha wahalifu
kuwafikia”

Mkurugenzi wa
kituo cha kulea watoto wenye Ualbino Bi. Beth Liduke amesema serikali na wadau
wanapaswa kutambua umuhimu wa kuzungushia uzio kwenye shule na vituo vinavyolea
watoto hao ili kuimalisha ulinzi na usalama.

“kwa watoto
ambao wanaualbino na uono hafifu ambao wapo kwenye shule maalumu wanahitaji
ulinzi wenye uhakikia, kama zipo shule zenye watoto hao na hazina uzio usalama
wao ni mdogo..lakini nishauri viongozi wa shule hizo wahakikishe wana uzio kwa
ajili ya usalama wa watoto” amesema.

Kwa upande
wake, Afisa ustawi wa jamii wilaya ya Njombe Averino Chaula amesema kuna
umuhimu mkubwa wa kuwajengea Uzio kwenye shule zenye watoto wenye Ualbino
pamoja na vituo vinavyowalea.

Hata hivyo
Mbunge wa jimbo la Lupembe Joramu Hongoli ameshauri wadau na serikali
kutengeneza mazingira rafiki ya shule za watoto wenye Ualbino ili kuimarisha
ulinzi dhidi ya kundi hilo, pamoja na wananchi kukemea matendo hatarishi kwa
watoto hao.

“shule ambazo
watoto wetu wanasoma inapaswa kuwa na uzio maana watu wana roho tofauti tofauti
hivyo nitoe rai kwa jamii, tusiingalie serikali tu hata wadau, wazazi na wenye
mapenzi mema wanaweza kujitoa na kuchangia ili kujenga uzio kwa usalama wa
watoto wote” amesema.

Na; Michael Ngilangwa- Njombe