Kadri
siku zinavyozidi kwenda hofu inazidikuongezeka kwa wanafunzi wenye Ualbino
katika shule ya msingi Mazinyungu iliopo Wilaya ya Kilosa mkoni Morogoro.

Shule
hiyo yenye wanafunzi 17 wenye Ualbino wameeleza
kuhofia usalama wao baada ya kutembelewa na TKT/UN Radio.

Mmoja
wawanafunzi hao ni Azizi Sauka darasa la 5 amesema usalama kwao ni muhimu kwani awali kumekuwepo
natuhuma za kuuwawa kwao, hivyo wanamashaka hasa kipindi hiki cha kuelekea
Uchaguzi mkuu.

“moja
ya haki tunayotakiwa kupatiwa sisi watu wenye Ualbino ni kuwekewa uzio shuleni,
maana anaweza kuja mhalifu akatubeba na hakuna mtu wa kujua” alisema

Maria
Kigodi ni mwanafunzi wa darasa la 5 amesema wapo watu mbalimbali walifika
shuleni hapo mwaka 2018/2019 kuhitaji kujenga uzio, lakini hadi sasa mwaka 2020
bado uzio haujajengwa,hivyo nakuomba wadau kujitokeza ilikujenga uzio huo.

Mkataba
wa haki za watoto uliopitishwa mnamo
Novevemba 20,1989 (CRC) katika kifungu cha 23;1kinaeleza kuwa; watoto wenye aina yeyote ya ulemavu wapewe
huduma na uangalizi maalumu, ili waweze kuendeleza vipawa vyao kikamilifu na
maisha ya kujitegemea, huku kifungu cha 35 kikieleza kuwa; Serikali inapaswa
kuhakikisha watoto hawatekwi wala kuuzwa.

Sheria
ya mtoto inatoa wajibu kwa serikali,Wazazi,Walezi na jamii kwa ujumla kuwalinda
watoto dhidi ya vitendo vya ukatili na ubaguzi, licha ya watoto wangine wameendelea
kuwa waathirika wa aina mbalimbali za ukatili, hasa ukatili wa kingono,mauwaji
na ubakaji.

Kwa
upande wake Mwalimu mkuu wa shule ya msingi Mazinyungu Happy Isdori amesema
kuwa jambo la kukosekana kwa wigo linawapa wasiwasi huku akiwaomba wadau
kujitolea ili kuwasaidia kujenga uzio katika shule hiyo.

“hicho
ni kilio chetu daima kujengewa uzio, kwa jinsi ilivyo kuwaweka watoto wenye
Ualbino katika hali ya usalama ni njema zadi huwezi kujua dunia ilivyo” amesema

Mwenyekiti
wa Bodi ya Shule ya Mzinyungu, Hamidu Ally amesema serikali imepunguza bajeti
kwa watoto wenye ulemavu wakiwemo wenye Ualbino jambo ambalo linawakatisha tamaa
hasa wasimamizi wa watoto hao, kwani idadi ya wenye Ualbino kuja kusoma katika
shule hiyo inaongezeka siku hadi siku.

“bajeti
yake tuliandika tukapeleka halmashauri, serikali ikasema haina hizo fedha,
tunahitaji sauti iwafikie Wabunge wanaoshughulika na masuala ya kutetea haki za
watu wenye Ualbino, waweze kujadili”
amesema.

Asajile
Mwambambale ni mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Kilosa,
Mkoani Morogoro amesema wataanza kuweka benki ya matofali yatakayo tumika
kujengea uzio huo kwa mwaka ujao wa fedha 2020/2021.

“ni
kweli tumekuwa na changamoto ya bajeti kama halmashauri tumejipanga kwa mwaka
ujao wa fedha na kuwa na benki ya matofali kwa ajili ya kuanzisha ujenzi wa
uzio huo”amesema.

Hata
hivyo Kutokana
na takwimu za ofisi ya ustawi wa jamii Mkoa wa Morogoro, kwa upande wa Wilaya
ya Kilosa, imeeleza kuwa; watu wenye ualbino jumla ni 67 ikiwa watoto wa Kike
ni (23) na Watoto wa Kiume ni (44) huku
jumla ya mkoa ni watu 132, wakike ni (60) na Wakiume ni (72) .

Na;
John Kabambala-Morogoro.
John Kabambala-Morogoro.