Wanafunzi wa shule
za Msingi na Sekondari wamehamasishwa kuwania nafasi za Uongozi Shuleni ili
kujenga kujiamini na uthubutu baadae watakapokua viongozi wa Taifa.

Akitoa ujumbe huo
kwa wanafunzi Mbunge wa Viti maalumu jumuiya ya Vyuo vikuu nchini, Daktari JASMINE
TIISEKWA katika kongamano la wanawake
lililofanyika katika chuo kikuu Mzumbe kuelekea siku ya wanawake
Duniani, amesema wanafunzi wana wajibu wa kutambua badae wanahitajika
kulitumikia Taifa katika nafasi mbalimbali za Uongozi.

”Ninyi wanafunzi msiogope
kuwania uongozi shuleni namnatakiwa kujiamini kwelikweli maana ndio wategemewa
wa Taifa la kesho,wewe usiogope kuwa kiranja wa wenzako shuleni hiyo inakujenga
kujiamini”

Akizungumza baada
ya maonesho, ISAYA LUPOGO mhadhiri katika chuo kikuu Mzumbe amesema mitaala ya
kufundishi shule za msingi na sekondari huzingatia kumjenga mwanafunzi kuwa
kiongozi bora na kuwataka wanafunzi kuwa wabunifu katika majuku yao ya uongozi
shulei.

ANASTATIAS MDAKU ni
mwanafunzi katika shule ya sekondari Mzumbe amesema amejipanga vyema kuwa
kiongozi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania.

”Nimejipanga
vizuri kuwania uongozi kwa kufuata taratibu zote zinazokuwepo na pia nawashauri
wengine wahamasike kutaka kuwa viranja” amesema Anastatias.

Nae PATRIK ROBERTY
ni mwanafunzi Shule ya Sekondari Mzumbe ambae sio kiongozi shuleni, amesema ni
jambo zuri kuwania uongozi shuleni maana humjenga mwanafunzi kuwa imara.

Aidha kongamano
hilo la wanawake lilijumuisha wanafunzi wa jinsia zote kutoka Shule za Msingi
na Sekondari Mzumbe.

Na, Hamad Rashid Morogoro.