Waandishi wa habari wanusurika kwenye ajali ya
kuungua moto iliotokea leo jioni katika manispaa ya Morogoro,Kwa taarifa za
awali moto huoumesababishwa na kulipuka kwa mitungi ya gesi iliokuwa ndani ya
nyumba,maeneo ya kata ya Mafisa.

Aidha kamanda
wa jeshi la polisi mkoa wa morogoro Wilbrod Mtafungwa amesema ajali hiyo
imetokea majila ya saa tisa alasili majeruhi hao ni Omary Husein(Star tv),Nichoraus
Mwanabarusi(Global Tv),Salum Yusufu(Abood Media) na Hassan Niga(Tv Imani),hatahivyo
Mtafungwa amesema hakuna mtoto yeyote alie kufa katika ajali hiyo.

Kwaupande wake mkuu wa wilaya ya
Morogoro mjini Regina Chonjo ametoa
wito kwa wananchi wa mkoa wa Morogoro kuwa makini na majiko ya gesi ya
kupikia, ameyasema hayo alipo watembelea majeluhi hao wa moto katika hosipitali
ya Rufaa ya mkoa.