Wilaya ya Kilosa
ni miongoni mwa Wilaya zinazopokea misaada kutoka mashirika mbali mbali kwa ajili ya kuwasaidia
watoto wenye mahitaji maalumu hususani shule zenye vitengo vya watoto wenye ulemavu,
lakini pamoja na hayo katika shule ya msingi Mazinyungu bado wanafunzi wasioona
na wenye uoni hafifu wanakabiliwa na upungufu wa mahitaji na tiba kwa ajili ya
afya zao.

Elizabeth
Mponji amesema changamoto walionayo ni matibabu
ya macho yao, kwani miaka iliopita walikuwa wakienda CCBRT kw ajili ya kupima
macho lakini kwasasa hakuna huduma kama hiyo na macho yanawasunbua wakati wanapo
kuwa darasani.

Aidha Elizabeth ameitaka jamii kuachana na dhana ya kusema mlemavu wamacho hawezi kufika mbali kielimu”ulemavu wa macho sio mwisho wa ndoto zetu kielimu”
Akizungumza
na TKT/UN Radio shuleni hapo Lucy
Joseph Mwalimu wa wanafunzi wasioona amesema changamoto kubwa ni
vifaa vya kufundishia,vikiwemo ukosefu
wa mashine za kuchapia vitabu vya nukuta nundu, nakuongeza kwamba changamoto zinazo
tajwa na wanafunzi ni kweli hivyo akaiomba serikali na wadau wa elimu kusaidia
kundi la watu wenye ulemavu.

Afisa Elimu,
Elimu maalumu halmashauri ya wilaya ya Kilosa, Julius Chideliga amesema kuna baadhi ya mashirika binafsi na wadau
mbali mbali hujitokeza kwa ajili ya kutoa msaada wa matibabu kwa watoto
wasioona na wenye uoni hafifu.

Nae
Mkurugenzi mtendaji halmashauri ya wilaya ya Kilosa,Asajile Mwambambale anasema Serikali hutenga bajeti ya mgawanyo wa
mahitaji kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu kulingana na bajeti ya mwaka
husika ilikuwasaidia watoto wenye ulemavu hasa kwa walio shule za bweni.

Wilaya ya
KILOSA inajumla ya shule nne za msingi zinazotoa Elimu maalumu kwa wanafunzi
wenye mahitaji maaalumu ambazo ni MAZINYUNGU, KICHANGANI, KIMAMBA na DUMILA
ilihali shule za Sekondari ziko mbili KILOSA SEKONDARI na MGUGU sekondari.