CRC nimkataba
wenye haki zote ambazo watoto wote wanapaswa kuwa nazo,mkataba huu umetokana na
Azimio la haki za binadamu baada ya ukatili uliofanyika kipindi cha vita kuu
mbili ya dunia ya mwaka 1914-1918 na “Vita Kuu ya Pili ya Dunia” 1939-1945, kwa sababu hiyo kifungu cha tatu(3) aya ya
kwanzan na yapili katika mkataba huu kinasema.

“Kwa kutambua mahitaji maalum ya mtoto
mlemavu, misaada iliyopitishwa kulingana na aya ya 2 ya kifungu cha sasa
itatolewa bure, kila inapowezekana, kwa kuzingatia rasilimali za kifedha za
wazazi au wengine wanaomtunza mtoto, na imeundwa ili kuhakikisha kuwa mtoto
mlemavu ana uwezo wa kupata na kupokea elimu, mafunzo, huduma za afya, huduma
za matunzo, maandalizi ya nafasi za ajira na burudani kwa njia inayofaa
kumfanikisha mtoto kufikia ujumuishaji kamili wa kijamii na maendeleo ya mtu
binafsi, pamoja na ukuaji wake wa kitamaduni na kiroho kisaikolojia na matibabu
ya kazi ya watoto walemavu”.

Kufuatia mkataba huu wa haki za
watoto duniani TKT/UN Radio ili
lazimika kuwatafuta viongozi wa mabaraza ya watoto Tanzania bara na Visiwani
ilikufahamu zaidi wanavyo shirikiana na watu wenye ulemavu kwenye mabaraza yao.

Asia
Makame ni mwenyekiti wa baraza la watoto
Zanzibar nilizungumza nae kwa njia ya simu kuhusu ushirikiano wa viongozi wa
mabaraza wanavyo shirikiana na watu wenye ulemavukatika majukumu yao “Niliona
kwamba ili nifanye kazi nzuri nilazima nizingatie haki na usawa kwa makundi
yote, kuna watoto wenye mahitaji maalumu
watatu(3) mmoja ana umri wa miaka minne nimlemavu wa mguu,mmoja anamiaka sita
ambae nimlemavu wa macho na watatu ni mwenye ualbino”.

Kwa upande wa Tanzania bara nime
zungumza na baadhi ya viongozi na wajumbe wa baraza la watoto,Mkoa wa
Morogoro,Shinyanga na Songwe, kutoka mkoa wa Shinyanga nimezngumza na katibu wa
baraza la watoto mkoani humo Nd.Sospeter
Lemgoha amesema “ Kazi kubwa tunazo zifanya nikuhakikisha tunajenga ustawi
wa mtoto,kutoa elimu dhidi ya kutambua haki na wajibu wa watoto kujitolea kwenye
jamii kwa kama vile kufanya usafi wa maeneo ya ofisi za serikali”

Aidha Lemgoha amebainisha kuhusu fursa za uongozi kwa watoto wenye
ulemavu katika baraza hilo kua kuna mtoto mmoja mwenye ualbino ambae yeye ni
mjumbe wa baraza kwa ngazi ya mkoa, na akataja maeneo yalio kithili kwa matukio
ya ukatili wa mimba,ndoa na ajira za utotoni, inayo ongoza kwa mjibu wa taarifa
za mwaka 2019 ni Wilaya ya Kishapu.

Kutoka mkoani Morogoro nimezngumza na
mwenyekiti msaidizi Paulina
Anols wa baraza la watoto Manispaa ya Morogoro, ambapo amesema katika
baraza lao hakuna kiongozi mwenye ulemavu isipokuwa kupitia kata ishirini na (29)
za Manispaa kuna washirika wa kutoka makundindi yote ya watu wenye ulemavu.

Hata hivyo mwenyekiti wa baraza la
watoto mkoa wa Songwe Lilian Shayo amesema
changamoto kubwa wanayo kumbana nayo katika kutekeleza majukumu yao ni kwa
baadhi ya wazazi na watoto hushindwa kutoa ushirikiano wakupata taarifa sahihi
za msingi kunapo kuwa na matukio ya ukatili dhidi ya watoto, nakuomba serikali
na wadau mbali mbali kuendelea kuunga mkono mabaraza ya watoto nchini hasa
watoto wenye mahitaji maalumu wanapo peleka maombi ya mahitaji yao kwa
utaratibu unao kubalika kwenye ofisi za serikali na binafsi.