Kufungwa kwa shule na vyuo mkoani
Kagera kumetajwa kupelekea changamoto ya upungufu wa damu salama kwenye benki
ya damu kutokana na wanafunzi kuwa wadau wa kubwa wa uchangiaji damu.

Akizungumza na Kids Time/ UN Radio
Mshauri na Msimamizi wa timu za ukusanyaji damu salama Mkoa, Amos Bashweka
amesema, kasi ya utokaji wa damu kwenye benki hiyo ni kubwa ukilinganisha na
inayoingia, kwani wanafunzi walikuwa na uwezo wa kutoa damu kwa wakati mmoja na
kupatikana kwa wingi tofauti na sasa.

Aidha ameeleza kwamba, makundi
makubwa yatakayoweza kuathirika katika upungufu huo wa damu katika benki ya
damu salama ni wajawazito na watoto.

Kwa upande wake Mratibu wa kitengo
cha damu salama mkoani Kagera, Mbakileki Audax amesema kuwa, Timu ya
uhamasishaji na ukusanyaji damu huingia mtaani ili kuelimisha Umma.

“Ili kuhakikisha damu
inapatikana ya kutosha na kunusuru maisha ya wahitaji, mwananchi kwa wakati
afike kwenye kituo cha afya kuchangia damu na sio kwa mikusanyiko kufuatia
kuwepo kwa tahadhari ya mikusanyiko” amesema.

Ignatio Haberi anayeuguliwa na mtoto
katika hositali ya Rufaa ya Bukoba amewashauri wanatimu wa ukusanyaji damu
salama, kufika vijijini kwani wapo watu ambao huguswa kuchangia damu lakini
hukwama kutokana na umbali wa vituo vya Afya vilivyopo mjini.

Na, Rosemary Bundallah