Utofauti wa uelewa kwenye jamii bado nimkubwa kwani
hakuna usawa wakutosha kuhusu watoto wenye ulemavu,kila mmoja anaelewa na kupambanua
mambo tofauti na mwingine,jambo hili linaonyesha kwamba kunahaja ya mashirika
yanayo jihusisha na elimu kwa jamii,serikali na wadau kuongeza jitihada za
kuielimisha kuhusu neno ULEMAVU na WATOTO WENYE ULEMAVU.

Kutoka mkoani Morogoro tumewauliza baadhi ya
wananchi uelewa wao kuhusu ULEMAVU na
WATOTO WENYE ULEMAVU, Victoria Komba mkazi wa kata ya kingolwira amesema “watoto
wenye ulemavu nisawa na watoto wengine kwenye jamii isipokuwa utofauti nikwamba
wao utakuta sehemu ya mwili wake unaupungufu wa kufanya baadhi ya mambo sawa na
wengine”.

Kwa upande wake Ajeko Mwaipopo mkazi wa kata ya
Bigwa manispaa ya Morogoro uelewa wake kuhusu Ulemavu na Watu wenye ulemavu ni
mtu mwenye upungufu wa viungo kwenye mwenye mwili wake ambavyo vina sababisha
kushindwa kukamilisha majukumu yake mengine kama wengine.

Hata hivyo Pius Edward kutoka kata ya Dumila Wilaya
ya Kilosa mkoani Morogoro ameelezea namna anavyo elewa Ulemavu na Watoto wenye
Ulemavu, nimtu ambae sehemu ya mwili wake haijakamilika kama walivyo wengine,na
ulemavu ni kupungukiwa kiungo au uwezo wa kutekeleza majukumu kwa wakati
husika.