Usemi wa haki sawa kwa wote baadhi ya maeneo na jamii nchini bado
nichangamoto,ambapo mashirika,Wadau na serikali wanatakiwa kutoludi nyuma ili usemi huu unaokuwa
ukizungumzwa upatikane na kila mmoja aweze kufurahi matunda ya taifa lake.

Elizabeth Julius ni mzazi wa watoto
watatu (3) wakiume wa wili(2) na wakike mmoja (1) ambae ndio Neema mlemavu wa
macho yaani (kipofu), mtoto huyu alizaliwa mwaka 2010 kwa sasa anazaidi ya
miaka tisa na anasoma shule ya msingi Mazinyungu iliopo Wilayani Kilosa Mkoa wa
Morogoro.

Bi,Elizabeth ameeleza changamoto kubwa
nikatika malezi ya mtoto huyo anapo hitaji kwenda sehemu yeyote kucheza na
wenzake na ukosefu wa fimbo ya kumsaidia
kumuongoza, hivyo akaiomba jamii na taasisi mbalimbali kuendelea
kuwasadia watoto wenye mahitaji mbalimbali wakiwemo wenye ulemavu wa macho kama
alivyo mwanae.

Kwa upande
wake katibu mtendaji wa shirikisho la chama cha watu wenye ulemavu manispaa ya
Morogoro Nd.Athumani Ommary amesema
bado kuna changamoto kwa jamii kukataa kuwaandisha watoto wenye ulemavu kwenye
ofisi za chama cha watu wenye ulemavukupitia kata husika kulingana na ulemavu alio nao.

Hata hivyo Elizabeth
Julius amewaomba wazazi na walezi walio na watoto wenye ulemavu wa aina
yeyote wasiwafiche ndani badala yake wakawaandikishe kwenye vyama vyao
iliwapate huduma zinazo wastahili kulingana na maumbile yao, kwani kilammoja
anahaki sawa yakuendelea kuishi kwa uhuru na kushiriki katika kuleta maendeleo
yao na nchi kwa ujumla.