Mikataba mbali mbali ya nchi,afrika,dunia na ikiwemo kamusi elekezi
ya watu wenye ulemavu ipo inayozungumzia kutoa kipaumbele,kusaidia na kubaini aina ya upofu na visababishi vinavyo sababisha
mtu kupata ulemavu wa macho yaani upofu.

Kamusi Elekezi
ya Ulemavu nchini uklasa wa 52-53 imeanza kwa kutofautisha aina ya kilema cha
macho“Kilema cha uoni wa koteksi: aina ya kilema cha upofu ambacho
husababishwa zaidi na matatizo ya ubongo kuliko yale ya jicho lenyewe.
Visababishi hivi hupambanuliwa kwa majina, yaani kilema kinachotokana na
hitilafu ya macho huitwa “cha uoni wa jicho” wakati kile kinachohusishwa na
ubongo, huitwa cha koteksi”.

Inawezekana mtu
kupatwa na aina zote mbili za vilema, yaani cha koteksi na cha jicho. Kilema
cha uoni aina ya koteksi wakati mwingine huitwa upofu japo mtu mwenye kilema
cha aina hii hawapotezi uoni kabisa. Dhana “kilema cha uoni wa kinyurolojia”
hujumuisha aina zote mbili za upofu zilizozungumziwa awali.

Ukawiaji wa
kukomaa kwa uoni ni aina nyingine ya kilema cha uoni wa koteksi ila chenyewe
hujirekebisha katika kipindi cha miezi michache baada ya kuzaliwa. Japo kiwango
cha uoni wa mtu mwenye aina hii ya kilema (cha
uoni wa koteksi) kinaweza kubadilika, ni nadra sana (kama itatokea)
kurekebika kabisa.

Visababishi vikuu vya kilema cha uoni wa
koteksi ni pamoja na: asfiksia, hipoksia au iskemia ambazo zinaweza kutokea
wakati wa michakato ya kuzaliwa, uatilifu wa ukuaji wa ubongo, kujeruhika
kichwani, hidrosifarasi, kiharusi kinachohusisha ndewe ya kisogoni, na
maambukizo ya mfumo wa kati wa neva k.v. meninjitisi na ensefalitisi.

counseling: unasihi: utoaji elimu na ushauri kwa
anayetatizwa na jambo kiasi cha yeye kushindwa kulipatia ufumbuzi. counselor:
mnasihi: mtaalamu wa kutoa ushauri. covenant: mapatano: 1. ahadi ya kufanya au
kutofanya jambo fulani maalumu; 2. kuingia katika mapatano rasmi (pia mkataba).
3. nadhiri ya maandishi ya siri ya kutoa malipo ya ufadhili kwa kipindi
kilichopangwa.liii covenants on human rights: mapatano katika haki za binadamu”.

Aidha kwa mjibu wa
takwimu za Ofisi ya shirikisho la watu wenye
ulemavu manispaa ya Morogoro kupitia kwa katibu mtendaji Nd.Athumani Ommary zinaonyesha kuna watoto
88 wakiume 43 na wakike 45, hatahivyo akatoa rai kwa jamii kuhusu watoto walio
na ulemavu wa macho kwa walio na tabia ya kuwa ficha na kutoa sababu zisizo
za msingi ambazo zinasababisha kukwamisha utimizwaji wa haki zao za msingi zinazo
wahusu watoto wenye ulemavu.

Hata hivyo Willa Matika yeye ni mfamasia mkazi wa misufini manispaa ya Morogoro amesema jamii inapaswa
kubadilika hususani namna ya kuwa tunza na kuwa hudumia watoto wenye ulemavu wa aina
zote hasa maswala ya afya,wazazi na walezi wanapaswa kuwaandikisha watoto wao
wenye ulemavu kwenye vitengo husika ilikuendelea kupata huduma za matibabu na
mazoezi ikiwa hayo yote yanahitajika kwa mtoto husika kungali mapema,kwani kunaulemavu mwingine unaweza kupovywa kwa njia ya mazoezi akiwa bado mtoto mchanga.