iliofanyika mwaka jana 2019 ilio husu watoto wenye ulemavu wanao ishi katika
mazingira hatarishi ndani ya manispaa ya
Morogoro.
Shirika
lisilo la kiserikali la Morogoro Organization for Women,Elders and Child Support (MOWECS) lenye makao mkuu yake mkundi mkoani Morogoro linalo jihusisha
na kusaidia wanawake,wazee na watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi kwa
kuwapatia elimu ya kiuchumi iliwaweze kuanzisha biashara/kazi zitakazo wapatia mahitaji
muhimu ya kilasiku, kamavile chakula,mavazi namalazi,na mahitaji ya kijamii kamavile
Elimu,Afya,Mazingira na miundo mbinu rafiki kwa watoto wenye ulemavu.
hilo Bi,Marry Mafwimbo amesema wapo walemavu
kutoka kata tatu zilizopo manispaa ya Morogoro ambazo ni chamwino,Lukobe na Mkundi ambao wanauhitaji tofauti tofauti
kamavile baiskeli za miguu mitatu(wheelchair),mavazi,lishe
bora,bima za afya,maradhi na mahitaji mengine ya msingi kulingana na hali ya mtoto,aidha
kuna watoto ambao shirika linamalengo ya kuwapeleka katikavyuo vya ufundi ili waweze
kuji kwamua kutoka katika halingumu ya maisha wanayopitia.
wapatao kumi natano(15)ambao miongoni
mwao niwalemavu wa ngozi, akili na viungo wanaoishi katika mazingira hatarishi.
MOWECS |
Hata hivyo utafiti
ulikuwa na lengo la kubaini watoto wenye mahitaji maalumu ,nakuona namna
watakavyo ziwezesha familia zao kwa kuunda vikundi vya kiuchu ilikuongeza
kipato cha familia na kuwa nauhakika wa kupa mahitaji ya kilasiku yakiwemo
Afya,Elimu,Lishe bora,Mazingira na Miundo mbinu rafiki na Ukuwaji wa Uchumi.
amesema watoto wa aina hiyo wana hitaji lishe bora, itakayo wa wezesha kuongeza
na kuimarisha kinga zao za mwili na mavazi yanayo wasaidia wakati wakujisaidia yaani
pampas kwa,upande wamaliwato.