Hositali
ya rufaa ya Bukoba mkoani Kagera, imeanza kuwatoza gharama za matibabu
wagonjwa walioko kwenye makundi ya msamaha wa matibabu wakiwemo
wajawazito na watoto wasiofuata taratibu zilizowekwa na serikali katika
upataji wa huduma.

Mganga
mfawidhi katika hospitali ya Rufaa ya Bukoba Dr. Mseleta Nyamkoroto
amesema hayo wakati akizungumza naTanzania Kids Times/UN Radio, kufuatia kuwepo
kwa malalamiko juu ya wajawazito na watoto wanaofikishwa hospitalini
hapo kutozwa gharama za kujifungua na matibabu.

Aidha
amesema kuwa, wamefanya hivyo kufuatia baadhi yao kutokufuata utaratibu
wa kuanzia kwenye vituo vya chini vya kutolea huduma za afya Kama
Zahanati, vituo vya afya na hospitali za kawaida na badala yake wamekuwa
wakija moja kwa moja katika hospitali ya Rufaa.

Kwa
upande wake Mwenyekiti wa bodi wa hospitali hiyo Pius Ngeze amesema
kuwa, wajawazito wengi wamekuwa hawatambui taratibu zinazoelezwa na
wizara katika kupata huduma za matibabu.

Hata
hivyo baadhi ya wakazi waliozungumza na Kids times wamedai kusikitishwa
na suala la kuanzisha gharama hizo bila kutaarifiwa kwani wengine
hawawezi kumudu gharama hizo, kwani gharama za anayejifungua kawaida
kuwa ni kati ya shilingi 20,000 hadi 40,000 na upasuaji ni kati ya
shilingi 50,000 hadi 70,000 na hizo ni gharama za vifaa vinavyotumika.

Na,Rosemary Bundala -Kagera.