Kipindi cha “SAUTI ZA NYARAKA” nikipindi kinacho andaliwa na kusimamiwa na TKT/UN RADIO chenye lengo la kuelimisha umma na kuikumbusha serikali kupitia kumbukumbu ambazo imewahi kupitisha/kukubaliana kuhusu watoto,Wiki hii kina angazia bajeti na utofauti wa vipaumbele vya wizara ya afya kwa mwaka wa fedha 2019/20 na 2020/21 ilivyowekeza kushughulika changamoto kwa watoto.
VIPAUMBELEVYAWIZARANABAJETI
YAMAPATO,MATUMIZIYAKAWAIDANA
MIRADIYAMAENDELEOKWAMWAKA JANA.
Katikamwaka2019/20,Wizara ya afya kwakushirikiananaWizaranyingine,IdaranaTaasisizaSerikali,WakalawaSerikalinaWadauwaMaendeleoilipangakutekelezaafuambalimbalizenyelengolakuboreshautoajihudumazaafya,ustawinamaendeleoyaJamiikatikamaeneoyafuatayo:-
i.Kuimarishanakuboreshautoajiwahudumazachanjoilikuwakingawatotochiniyamiakamitanodhidiyamagonjwayanayozuilikakwachanjo.
ii.Kuendeleakuimarishahaliyalishe
nausafiwamazingirailikuwezesha
wananchikujikinganamagonjwa;
iii.KuendeleakuboreshahudumazaAfya
yauzazi,MamanaMtoto,ilikupunguza
vifovitokanavyonauzazinawatotowa
chiniyamiakamitano;
iv.Kuendeleanautekelezajiwaafua
mbalimbalizenyelengolakuimarisha
nakupunguzamaambukiziyaUKIMWI,
TBnaMalaria;
v.Kuimarishaupatikanajiwahakina
maendeleoyamtoto;
vi.Kuimarishahudumazaustawiwajamii
kwawazeenawatotowakiwemowale
waliokatikamazingirahatarishi;
VIPAUMBELEVYAWIZARANABAJETI
YAMAPATO,MATUMIZIYAKAWAIDANA
MIRADIYAMAENDELEOKWAMWAKA
2020/2021.
Katikamwaka2020/21WizarakupitiaFungu52(Afya)
imejiwekeavipaumbelevifuatavyoilikuboreshahudumazaafyanchini:-
i.Kuendeleakuimarishanakuboreshautoajiwahudumazachanjoilikuwakinganamagonjwawatotochiniyaumrimiaka5,akinamamawajawazitonakutoachanjonyinginezakimkakati
zakukinganakudhibitiyamagonjwa
yanayozuilikakamaHomayaIni,kichaa
chambwanamengineyo;
ii.KuimarishaHudumazaLishehususani
kwawatotochiniyamiaka5na
wanawakewaumriwa kuzaa;
iii.Kupunguzavifovyaakinamamana
watotowachangavinavyotokanana
uzazi.
Kwa mwaka 2019/20 wizara ilikuwa na vipaumbele vingi vinavyo wahusu watoto,kuliko mwaka 2020/2021,je mahitaji yahusuyo watoto yamepungua kwa mwaka 2020/2021 au yalio mengi yameshughulikiwa?
Bado bajeti inaendelea………….