Kipindi cha “SAUTI ZA NYARAKA”kinaendelea kuitazama bajeti ya wizara ya afya na vipaumbele vyake dhidi ya watoto.
Leo tuta angalia,Haki na Maendeleo ya Mtoto na Huduma za Ustawi wa jamii, zimepewa kipaumbele gani katika yote yatakayo fanywa na wizara.
Haki na Maendeleo ya Mtoto:
Katika kipindi cha2020/21,ili kukuza haki zawatotonchini,Wizaraitaendeleakutekelezakazizi fuatazo:-
¶Kuendeshakampeniyakutokomeza
vitendovyaukatili dhidiyawatoto.
¶Kuwezeshauanzishwajiwavituovyajamiivyamalezi,makuzinamaendeleo
yaawali.
¶Kuwezeshauanzishwajiwavikundivya
malezikatikajamii.
¶KutekelezaAjendayaTaifayaKuwekeza
KwenyeAfyanaMaendeleo yaVijana
Balehe.
¶Kuimarishanakuanzishakamatiza
ulinzizawanawakenawatoto.
¶Kuratibuuanzishwajiwamadawatiya
kuzuiaukatilikatikashulezamsingi
nasekondariilikuzuiaukatilidhidiya
watoto.
¶Kuhamasisha jamiin amnayakuwakinga
watotonaukatiliwamitandaoni.
Huduma za Ustawi wa Jamii:
Hata hivyo katika upande wa *Huduma za Ustawi waJamii* Katikamwaka2020/21,Wizarakwakushirikiananawadau
itaendeleakuboreshahudumazaustawiwa
jamiikwakazizifuatazo:-
∆ Kuwatambua,
kuwatengamanisha
nakuwaunganishanafamiliawatoto
wanaoishinakufanyakazimitaani.
∆KujengaMakaoyaTaifayaWatoto
jijiniDodoma.
∆Kukarabatimajengonamiundombinu
katikamakaziyawazee.
∆Jumlaya shilingimilioni400 zimetengwa.
Kuimarishamifumoyakijamiiya
malezinaulinziwawatotonafamilia.
∆Kutekelezakuwatangamanisha
watotokatikaMakaoMapyaya
WatotoyatakayojengwaDodoma.
∆KutekelezaProgramuyaKitaifaya
KusimamiaMpangowaHudumakwa
kilamtotokatikaMakaoyaWatoto.
∆Kufanyausuluhishiwamigogoroya
ndoanakuwezeshamatunzokwa
watoto.
∆KuimarishaMabarazayaWazee
katikangazizote.