By using this site, you agree to the Privacy Policy and Terms of Use.
Accept
Tanzania Kids Time
  • Home
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Mazingira
  • Uchambuzi na Takwimu
  • Wasiliana Nasi
Reading: Somalia huenda ikahalalisha ndoa za utotoni
Share
Notification Show More
Latest News
Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi
Elimu Haki Za Watoto
Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili
Elimu
Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania
Elimu Haki Za Watoto
KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.
Elimu
TANZANIA WILL HOST CIGOFA4 TO FIND CONCRETE SOLUTIONS FOR YOUTH LAND QUESTIONS
Editor's Pick
Aa
Aa
Tanzania Kids Time
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Home
  • Afya
  • Elimu
  • Haki Za Watoto
  • Uchambuzi na Takwimu
  • Mazingira na Mabadiliko ya Tabianchi
  • Contact
Follow US
  • Advertise
© 2022 Foxiz News Network. Ruby Design Company. All Rights Reserved.
Tanzania Kids Time > Blog > Uncategorized > Somalia huenda ikahalalisha ndoa za utotoni
Uncategorized

Somalia huenda ikahalalisha ndoa za utotoni

Tanzania Kids Time
Last updated: 2024/01/04 at 8:17 AM
By Tanzania Kids Time 1 Min Read
Share
SHARE

 

Hasira inazidi kuongezeka nchini Somalia wakati bunge likipanga kuujadili muswada wa sheria ambayo itaruhusu ndoa za watoto mara baada ya kubalehe, na kuruhusu ndoa za lazima ilimradi familia itoe ridhaa yake. 

Muswada huo unatajwa kuwa mabadiliko makubwa katika jitihada za mashirika ya kiraia za kuwasilisha pendekezo la sheria ya kuwalinda zaidi wanawake katika moja ya mataifa ya kihafidhina zaidi duniani.

Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu vurugu za kingono katika maeneo ya migogoro, Pramila Patten, amesema muswada huo mpya wa makosa yanayohusiana na ngono, “utakuwa ni pigo katika mapambano dhidi ya ukatili wa kingono nchini Somalia na duniani kote” na unapaswa kuondolewa haraka”.

Kulingana na tathmini ya Umoja wa Mataifa ya mwaka 2014-2015, zaidi ya asilimia 45 ya wasichana nchini Somalia tayari wameolewa katika umri mdogo wa chini ya miaka 18.

Somalia ilikubaliana na Umoja wa Mataifa mwaka 2013 kuboresha sheria zake zinazohusiana na vurugu za kingono, na baada ya miaka mitano ya juhudi, muswada wa makosa ya kingono uliidhinishwa na baraza la mawaziri na kutumwa bungeni.

Chanzo cha habari ni Idhaa ya Kiswahili ya DW.

You Might Also Like

ENERGY AND NEO-COLONIALISM IN AFRICA, NO ANSWERS?

WAHITIMU WATAKAO JIUNGA DARASA LA KWANZA MWAKA 2023

ATHARI ZA NDOA ZA UTOTONI KIUCHUMI

SIKU YA WATOTO WALIOZALIWA KABLA YA KUKOMAA

ATHARI ZA NDOA ZA UTOTONI KIELIMU

Tanzania Kids Time August 12, 2020
Share this Article
Facebook Twitter Email Print
Previous Article Umuhimu wa Lishe Wakati wa Ujauzito na Unyonyeshaji.
Next Article LISHE BORA KWA MTOTO SIKU 1000:
Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Stay Connected

Facebook Like
Twitter Follow
Youtube Subscribe
Telegram Follow
- Advertisement -
Ad image

Latest News

Mapendekezo ya Mradi wa Sauti zetu ni Muhimu kwa Mkakati wa Elimu Jumuishi
Elimu Haki Za Watoto
Mafanikio ya Shirika la SAWA Kuwezesha Wazazi Kuziishi Stadi za Maisha na Maadili
Elimu
Sababu ya Mradi wa ALiVE Kufanikiwa Kutengeneza Vinara Zaidi ya 300 Tanzania
Elimu Haki Za Watoto
KONGANI YA ELIMU YA MTANDAO WA ELIMU WA KIKANDA – RELI AFRIKA YAONGOZA MAADHIMISHO YA SIKU YA WALIMU DUNIANI.
Elimu
//

Tanzania Kids Time: A platform spotlighting children’s and women’s issues in Tanzania, focusing on education, health, and environmental conservation.

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

© 2023 Tanzania Kids Time. Powered by Digital Media Innovation Program. All Rights Reserved.

Join Us!

Subscribe to our newsletter and never miss our latest news, podcasts etc..

Zero spam, Unsubscribe at any time.

Removed from reading list

Undo
Welcome Back!

Sign in to your account

Lost your password?