Utafiti wa Mapato na matumizi ya kaya Binafsi 2017/2018
umeonesha watoto wa umri wa miaka 0-17,30.1% ni maskini wa mahitaji ya Msingi
ambapo 9.4% ni maskini wa Chakula.
Aidha umaskini wa chakula kwa watoto wa kiume ni 9.5% ilhali
watoto wa kike ni 9.4%.
Jedwali hapo chini linaonesha mchanganuo wa Matokeo ya
Utafiti huo ukigusa maeneo ya mijini na vijijini.
UMASKINI |
ENEO |
ASILIMIA |
KUKOSA MAHITAJI YA MSINGI. |
VIJIJINI. |
34.5% |
MIJINI. |
11.0% |
|
KUKOSA CHAKULA. |
VIJIJINI. |
11% |
MIJINI. |
5.4% |
CHANZO: Serikali
kupitia (Kitabu cha hali ya Uchumi wa Taifa Mwaka 2018).
Imeandaliwa na John Kabambala & Hamad Rashid.