Watoto 4,664,201 walihusishwa kutumikishwa katika Sekta za Misitu,
Kilimo na Uvuvi huku watoto wa kiume wakiongoza kwa idadi kubwa ya watoto 2,509,864
kutumikishwa ambapo watoto wa kike waliotumikishwa wakiwa 2,154,337
Mwaka Mwaka 2014.
Aidha jedwali hapo chini linaonesha maeneo mengine
yaliyoathirika na utumikishwaji wa watoto nchini katika kipindi cha Mwaka 2014.
SEKTA ZINAZOTUMIKISHA WATOTO. |
JUMLA |
WATOTO WA KIUME |
WATOTO WA KIKE |
Jumla |
5,066,890 |
2,662,098 |
2,404,792 |
Kilimo, Misitu na Uvuvi |
4,664,201 |
2,509,864 |
2,154,337 |
Machimbo |
30,827 |
13,493 |
17,334 |
Viwanda |
14,759 |
4,090 |
10,669 |
Ujenzi |
5,868 |
5,706 |
162 |
Kalakana za vyombo za vyombo moto |
154,997 |
84,672 |
70,325 |
Usafirishaji na uhifadhi |
7,243 |
7,243 |
– |
Huduma za Chakula na Malazi |
46,553 |
12,393 |
34,161 |
Maeneo ya Utawala |
2,000 |
1,742 |
258 |
Shughuli za Afya ya Binadamu na kazi za kijamii. |
2,300 |
– |
2,300 |
Sanaa |
170 |
170 |
– |
Kazi za majumbani |
131,741 |
20,830 |
110,911 |
Kazi nyinginezo. |
6,231 |
1,895 |
4,335 |
TAKWIMU HIZI
NI KWA MUJIBU WA UTAFITI ULIOFANYWA NA: –
Ofisi kuu ya Taifa ya Takwimu – NBS,
Serikali na
Shirika la kazi duniani – ILO ofisi ya tanzania.
Nakuchambuliwa na wandishi wa
habari:-
John Kabambala -Email: [email protected]
Hamad Rashid –Email: [email protected]