Kwa mujibu wa ripoti ya hali ya uchumi wa Taifa Mwaka
2020, iliyotolewa na ofisi ya taifa ya takwimu (nbs) 2021, idadi ya watu Tanzania iliongezeka kwa asilimia 3.1 na
kufikia watu 57,637,628 ikilinganishwa na watu 55,890,747 mwaka
2019.Tanzania Bara ilikadiriwa kuwa na watu 55,966,030, sawa na asilimia 97.1
ya watu wote na Tanzania Zanzibar ilikadiriwa kuwa na watu 1,671,598.
Kati ya idadi hiyo watoto walikadiriwa kuwa 31,040,164
mwaka 2020 tanzania bara na visiwani kwa mchanganuo wa umri na Jinsi.
UMRI |
WATOTO |
WATOTO |
JUMLA |
0 |
4,972,289 |
4,878,738 |
9,851,027 |
5 |
4,013,263 |
3,968,953 |
7,982,216 |
10 |
3,582,899 |
3,568,790 |
7,151,689 |
15 |
3,014,118 |
3,041,114 |
6,055,232 |
JUMLA |
15,582,569 |
15,457,595 |
31,040,164 |
Chanzo:
Ofisi ya Taifa ya Takwimu – NBS.
Wachambuzi wa Takwimu hizi ni:-
John Kabambala [email protected]
Hamad Rashid [email protected]