Kwa mujibu wa ripoti ya hali ya uchumi wa Taifa Mwaka
2020, iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) 2021,Inaonesha makadirio ya idadi ya watoto
Tanzania ni 31,040,164
Kati ya idadi hiyo ya watoto jedwali hapa chini
linafafanua mchanganuo wa idadi ya watoto walioko Tanzania Bara na Tanzania
Visiwani kwa umri na jinsi.
WATOTO WA TANZANIA BARA
UMRI |
WATOTO |
WATOTO |
JUMLA |
0 |
4,836,109 |
4,745,067 |
9,581,176 |
5 |
3,896,605 |
3,853,979 |
7,750,584 |
10 |
3,483,136 |
3,469,159 |
6,952,295 |
15 |
2,931,131 |
2,957,201 |
5,888,332 |
JUMLA |
15,146,981 |
15,025,406 |
30,172,387 |
WATOTO WA TANZANIA VISIWANI |
|||
UMRI |
WATOTO |
WATOTO |
JUMLA |
0 |
136,180 |
133,671 |
269,851 |
5 |
116,658 |
114,974 |
231,632 |
10 |
99,763 |
99,631 |
199,394 |
15 |
82,987 |
83,913 |
166,900 |
JUMLA |
435,588 |
432,189 |
867,777 |
Chanzo: Ofisi ya Taifa ya Takwimu – NBS
Wachambuzi
wa Takwimu hizi ni: –
John
Kabambala [email protected]
Hamada
Rashid [email protected]
Honger eni kuwa kuendelea kutupatia taarifa mbalimbali zihusivyo taifa letu
Asante sana , na tunakushukuru pia na wewe ambae nimdau muhimu unaetembelea tovuti yetu na kusoma machapisho mbalimbali tunayo chapisha.
Aidha tuana kukaribisha siku zote uendelee kutembelea na kuzitumia habari hizi kama chachu ya maendeleo ya taifa letu asante sana.
John.E.Kabambala
P.o.box 2466,
Mtaa wa Uhuru
Morogoro,Tz.
Sim.+255767085647.
Email: [email protected]
Web: http://www.tanzaniakidstime.org
Web: news.un.org/sw
Journalist of children's issues of TKT/UNRADIO