Chanzo cha picha: habari leo.
Kwamujibu wa ripoti ya utafiti wa utumikishwaji ya
mwaka 2016 kutoka Ofisi kuu ya Takwimu
ya Taifa (nbs) Watoto 5,066,890 walihusishwa
kwenye ajira, ambapo kati yao watoto 4,713,794 walifanyishwa kazi bila malipo mwaka 2014, wakiume wakiwa
2,480,466 na wakike wakiwa 2,233,328.
Pamoja na
watoto kutumikishwa lakini taafiti zinaonesha pia wapo watoto 2,942 ambao
huwatumikisha watoto wenzao katika kazi mbalimbali za kujiingizia kipato.
AINA YA KAZI |
JUMLA |
WATOTO WA KIUME |
WATOTO WA KIKE |
|
5,066,890 |
2,662,098 |
2,404,792 |
WAAJIRIWA |
174,508 |
84,798 |
89,710 |
WAAJIRI |
2,942 |
2,942 |
0 |
WALIOJIAJIRI |
43,752 |
20,817 |
22,935 |
WAAJIRIAWA BILA MALIPO |
4,713,794 |
2,480,466 |
2,233,328 |
WANAOFANYA KAZI MASHAMBA BINAFSI. |
131,894 |
73,075 |
58,819 |
Chanzo ni:- Ofisi
kuu ya Taifa ya Takwimu – NBS,
Serikali na
Shirika la
kazi duniani – ILO Ofisi ya Tanzania.
Wandishi wa habari na wachambuzi wa takwimu
hizi ni:-
John
Kabambala kabambalajohn@gmail.com
Hamad Rashi hamadrashidhd@gmail.com