Picha:dw.
Kwa mujibu
wa ripoti ya takwimu za utumikishwaji watoto ya mwaka 2014 iliotolewa na Ofisi
kuu ya Taifa ya Takwimu – nbs, jumla ya watoto kuanzia miaka 5-17 walikuwa 14,666,463 kati yao watoto 2,519,260
hawakwenda shule kabisa, wanaume wakiwa 1,318,000
na wanawake ni 1,201,260.
Aidha kundi
la watoto lililo ongoza kutoenda shule kabisa ni kuanzia miaka 5-11, jumla yao wakiwa watoto 2,125,923 wakiume wakiwa 1,093,287 na wakike wakiwa 1,032,636.
Jumla ya
watoto 10,233,365 walio na umri wa miaka 5 – 17 walihudhulia masomo Shuleni ilhali
watoto 4,433,098 hawakuhudhuliwa masomo katika kipindi cha Mwaka 2014.
WALIOHUDHULIA
SHULE
UMRI |
WATOTO WA KIUME |
WATOTO WA KIKE |
JUMLA |
5–17 |
5,205,256 |
5,028,109 |
10,233,365 |
5-11 |
3,242,471 |
3,174,382 |
6,416,852 |
12-13 |
993,047 |
919,727 |
1,912,775 |
14-17 |
969,738 |
934,000 |
1,903,737. |
ASILIMIA KWA WALIOHUDHULIA |
|||
5–17 |
50.9% |
49.1% |
100.0% |
5-11 |
31.7% |
31.0% |
62.7% |
12-13 |
9.7% |
9.0% |
18.7% |
14-17 |
9.5 % |
9.1% |
18.6% |
WASIOHUDHULIA SHULE |
|||
5–17 |
2,348,190 |
2,084,908 |
4,433,098 |
5-11 |
1,216,775 |
1,107,869 |
2,324,644 |
12-13 |
226,889 |
178,907 |
405,795 |
14-17 |
904,526 |
798,133 |
1,702,659 |
Takwimu hizi ni kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na ofisi
kuu ya Taifa ya Takwimu – NBS, kwa kushirikiana na serikali pamoja na shirika
la kazi duniani ofisi ya tanzania- ILO.
Wandishi wa habari na wachambuzi wa takwimu
hizi ni:-
John
Kabambala [email protected]
Hamad Rashi [email protected]