Picha na eatv.
Kwa
mujibu wa Hotuba ya Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na watoto ya
Mwaka 2020/2021, katika kipengele C
cha utekelezaji wa majukumu ya idara kuu ya afya (fungu 52) huduma za
Chanjo.
ya watoto 8,082,861 walipata chanjo
ili kuzuia ugonjwa wa surua na rubella, sawa na asilimia 112% iliyovuka lengo
la kutoa Chanjo kwa watoto 7,216,840
na watoto 4,040,654 sawa na asilimia
114% ya lengo la watoto 3,544,433
walipata chanjo ya kuzuia ugonjwa wa kupooza kwa nchi nzima, kwanzia Mwezi
Julai 2019 hadi kufikia Machi 2020.
hapa chini linaonesha watoto waliokusudiwa na waliofikiwa kupatiwa Chanjo ya
Surua, Rubella na ugonjwa wa kupooza sambamba na aina nyingine za Chanjo zilizonunuliwa
na Serikali kwa kipindi cha Mwaka 2019/2020.
AINA |
WATOTOWALIOKUSUDIWA |
WATOTO |
ASILIMIA |
Surua |
7,216,840 |
8,082,861 |
112% |
Kupooza |
3,544,433 |
4,040,654 |
114% |
AINA |
|||
AINA |
AINA |
IDADI |
|
BCG |
Kifua |
2,000,000 |
|
bOPV |
Magonjwa |
2,000,000 |
|
TT |
Pepopunda |
2,000,000 |
|
PCV13 |
Nimonia |
3,520,600 |
|
Rota |
kuhara |
4,237,800 |
|
HPV |
saratani |
580,000 |
|
IPV |
kupooza |
6,232,800 |
|
Penta |
Dondakoo, |
4,048,850 |
Chanzo:
Hotuba
ya Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na watoto ya Mwaka 2020/2021.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John
Kabambala: [email protected]
na
Hamad
Rashid: [email protected]