Picha: un news.
Kwa mujibu wa Hotuba ya Wizara ya Afya Maendeleo ya
Jamii Jinsia wazee na watoto ya Mwaka 2020/2021, katika kipengele C cha utekelezaji
wa majukumu ya idara kuu ya afya (fungu 52) huduma za Chanjo kutokana na
huduma za Chanjo zilizotolewa na Serikali kutoka Mwaka 2015/16 Mpaka
Mwaka 2019/2020 zimeleta matokeo ya kupunguza vifo vya watoto walio chini ya
Umri wa miak 5.
Hii ni
kulingana na takwimu zinazokusanywa na Wizara kutoka katika vituo vya kutolea
huduma za afya nchini.
Jedwali hili linafafanua vifo vilivyopungua kwa kuonesha umri wa watoto.
UMRI |
VIFO VYA MWAKA 2015/2020. |
VIFO VYA MWAKA 2019/2020. |
VIZAZI HAI. |
0 – 1 |
43 |
9 |
1,000 |
1 – 5 |
67 |
11 |
1,000 |
Chanzo:
Hotuba
ya Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia wazee na watoto ya Mwaka 2020/2021.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John
Kabambala: [email protected]
na
Hamad
Rashid: [email protected]