Jumla ya watoto 10,233,365 walio na umri wa miaka 5 – 17 walihudhulia masomo Shule ilhali
watoto 4,433,098 hawakuhudhulia masomo
katika kipindi cha Mwaka 2014, kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na ofisi kuu ya
Taifa ya Takwimu – NBS, kwa kushirikiana na serikali pamoja na shirika la kazi
duniani ofisi ya tanzania- ILO.
Jedwali hapa chini linaonesha mchanganuo wa mahudhulio ya
wanafunzi na wale wasiohudhulia sambamba na Asilimia za wanafunzi waliohudhulia.
WALIOHUDHULIA
SHULE
UMRI |
WATOTO WA KIUME |
WATOTO WA KIKE |
JUMLA |
5–17 |
5,205,256 |
5,028,109 |
10,233,365 |
5-11 |
3,242,471 |
3,174,382 |
6,416,852 |
12-13 |
993,047 |
919,727 |
1,912,775 |
14-17 |
969,738 |
934,000 |
1,903,737. |
ASILIMIA KWA WALIOHUDHULIA |
|||
5–17 |
50.9% |
49.1% |
100.0% |
5-11 |
31.7% |
31.0% |
62.7% |
12-13 |
9.7% |
9.0% |
18.7% |
14-17 |
9.5 % |
9.1% |
18.6% |
WASIOHUDHULIA SHULE |
|||
5–17 |
2,348,190 |
2,084,908 |
4,433,098 |
5-11 |
1,216,775 |
1,107,869 |
2,324,644 |
12-13 |
226,889 |
178,907 |
405,795 |
14-17 |
904,526 |
798,133 |
1,702,659 |
Chanzo: Ripoti ya Takwiku za Elimu (Best 2020).
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John
Kabambala: [email protected]
na
Hamad
Rashid: [email protected]