Kwa mujibu wa Ripoti
ya utafiti wa Hali ya Ukatili kwa watoto Shuleni Tanzania Bara, ya mwaka 2020 iliyotolewa na Haki Elimu Tanzania Mwezi machi 2021,
Jumla ya wanafunzi 744 sawa na Asilimia
47.2% ya watoto wote wa shule ambao walihojiwa walisema walifanyiwa ukatitili
wa kimwili kutoka kwa walimu wao, Wakati 20% ya wanafunzi wahojiwa walisema ukatili
wa aina hiyo waliupata kutoka kwa wazazi / walezi wao kwa Shule za Msingi na Sekondari
katika kipindi cha miezi sita
kabla ya utafiti kufanyika.
Aidha ripoti hiyo inaonesha
wahanga wengi wa ukatili wa kimwili ni wanafunzi wa Shule za Sekondari kwa
waliohojiwa 420 sawa na Asilimia (53.3%) walifanyiwa ukatili huo kutoka kwa
walimu, ikilinganishwa na wanafunzi wa shule za msingi ambao ni 324 sawa na asilimia (41.2%).
Lakini pia ripoti ya utafiti
wa Hali ya Ukatili kwa watoto Shuleni Tanzania Bara imefafanua jumla ya
wanafunzi wa Shule za Msingi 198
sawa na 25.2% walifanyiwa
ukatili wa kimwili kutoa kwa wazazi na walezi wao na kwa upande wa Shule za
Sekondari wanafunzi 117
sawa na 14.8% nao
walifanyiwa ukatili wa aina hiyo kutoka kwa wazazi na walezi wao.
Hata hivyo wanafunzi wa Shule za Msingi na Sekondari
waliezea kufanyiwa ukatili wa kimwili kutoka kwa wanafunzi wenzao, marafiki
zao, jamaa wa karibu, wafanyakazi wa Nyumbani na watu wengine.
JINSI |
ENEO |
SHULE YA MSINGI |
SHULE YA SEKONDARI |
JUMLA |
|||||||
Mjini |
Vijijini |
Binafisi |
Serikali |
Jumla |
Binafisi |
Serikali |
Jumla |
Binafisi |
Serikali |
Jumla |
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
WALIMU |
|||||||||||
Wavulana |
178 (19.8%) |
114 (16.8%) |
45 (20.5%) |
89 (15.7%) |
134 (17.0%) |
48 (18.0%) |
110 (21.1%) |
158 (20.1%) |
93 (19.1%) |
199 (18.3%) |
292 (18.5%) |
Wasichana |
236 (26.3%) |
216 (31.9%) |
55 (25.0%) |
135 (23.8%) |
190 (24.1%) |
105 (39.5%) |
157 (30.1%) |
262 (33.2%) |
160 (32.9%) |
292 (26.8%) |
452 (28.7%) |
Jumla |
414 (46.1%) |
330 (48.7%) |
100 (45.5%) |
224 (39.5%) |
324 (41.2%) |
153 (57.5%) |
267 (51.1%) |
420 (53.3%) |
253 (52.1%) |
491 (45.1%) |
744 (47.2%) |
RAFIKI WA |
|||||||||||
Wavulana |
20 |
17 |
11 |
9 |
20 |
2 |
15 |
17 |
13 |
24 |
37 |
Wasichana |
5 |
13 |
1 |
8 |
9 |
1 |
8 |
9 |
2 |
16 |
18 |
Jumla |
25 |
30 |
12 |
17 |
29 |
3 |
23 |
26 |
15 |
40 |
55 |
WANAFUNZI |
|||||||||||
Wavulana |
36 |
44 |
6 |
26 |
32 |
14 |
34 |
48 |
20 |
60 |
80 |
Wasichana |
41 |
35 |
9 |
29 |
38 |
11 |
27 |
38 |
20 |
56 |
76 |
Jumla |
77 |
79 |
15 |
55 |
70 |
25 |
61 |
86 |
40 |
116 |
156 |
WALEZI/WAZAZI |
|||||||||||
Wavulana |
75 |
52 |
16 |
65 |
81 |
19 |
27 |
46 |
35 |
92 |
127 |
Wasichana |
114 |
74 |
32 |
85 |
117 |
29 |
42 |
71 |
61 |
127 |
188 |
Jumla |
189 |
126 |
48 |
150 |
198 |
48 |
69 |
117 |
96 |
219 |
315 |
JAMAA WA KARIBU |
|||||||||||
Wavulana |
26 |
29 |
8 |
25 |
33 |
5 |
17 |
22 |
13 |
42 |
55 |
Wasichana |
47 |
26 |
9 |
34 |
43 |
8 |
22 |
30 |
17 |
56 |
73 |
Jumla |
73 |
55 |
17 |
59 |
76 |
13 |
39 |
52 |
30 |
98 |
128 |
WAFANYAKAZI WA NYUMBANI |
|||||||||||
Wavulana |
5 |
1 |
0 |
2 |
2 |
2 |
2 |
4 |
2 |
4 |
6 |
Wasichana |
11 |
4 |
6 |
2 |
8 |
1 |
6 |
7 |
7 |
8 |
15 |
Jumla |
16 |
5 |
6 |
4 |
10 |
3 |
8 |
11 |
9 |
12 |
21 |
WENGINE |
|||||||||||
Wavulana |
62 |
35 |
14 |
39 |
53 |
11 |
33 |
44 |
25 |
72 |
97 |
Wasichana |
42 |
17 |
8 |
19 |
27 |
10 |
22 |
32 |
18 |
41 |
59 |
Jumla |
104 |
52 |
22 |
58 |
80 |
21 |
55 |
76 |
43 |
113 |
156 |
Chanzo: Haki Elimu Tanzania.
Waandisi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu
hizi ni : –
John
Kabambala: [email protected]
Hamad
Rashid: [email protected]