Ripoti ya utafiti wa Hali ya Ukatili kwa watoto
Mashuleni Tanzania Bara, ya mwaka 2020 iliyotolewa na Haki Elimu Tanzania Mwezi
machi 2021, inaonesha maeneo ya Shule linaongoza kwa ukatili wa kimwili kwa
wanafunzi ukilinganisha na maeneo mengine ya Nyumbani na njiani wakati wa wanafunzi
kwenda au kurudi Shule, ambapo jumla ya wanafunzi 1401 sawa na 89.0% walifanyiwa ukatili wa kimwili shuleni kwenye Shule za
Msingi na Sekondari katika kipindi cha miezi sita kabla ya utafiti kufanyika.
Aidha upande wa Ukatili wa kimwili jumla
ya wanafunzi 157 sawa
na 10.0 % walitendewa wakiwa nyumbani miezi sita kabla ya utafiti kufanyika.
Aidha utafiki unaonesha wasichana
wanaongoza kufanyiwa ukatili wa kimwili kwa shule za msingi na sekondari huku
Shule za Serikali zikiongoza zikifuatiwa na Shule Binafsi.
JINSIA |
ENEO |
SHULE YA MSINGI |
SHULE YA SEKONDARI |
JUMLA |
|||||||||||
MJINI |
VIJIJINI |
BINAFISI |
SERIKALI |
JUMLA |
BINAFISI |
SERIKALI |
JUMLA |
BINAFISI |
SERIKALI |
JUMLA |
|||||
|
|||||||||||||||
NYUMBANI |
|||||||||||||||
WAVULANA |
33(3.7%) |
20 (3.0%) |
9 (4.1%) |
23 (4.1%) |
32 (4.1%) |
6 (2.3%) |
15 (2.9%) |
21 (2.7%) |
15 (3.1%) |
38 (3.5%) |
53 (3.4%) |
||||
WASICHANA |
69 (7.7%) |
35 (5.2%) |
28 (12.7%) |
45 (7.9%) |
73 (9.3%) |
11 (4.1%) |
20 (3.8%) |
31 (3.9%) |
39 (8.0%) |
65 (6.0%) |
104 (6.6%) |
||||
JUMLA |
102 (11.4%) |
55 (8.1%) |
37 (16.8%) |
68 (12.0%) |
105 (13.3%) |
17 (6.4%) |
35 (6.7%) |
52 (6.6%) |
54 (11.1%) |
103 (9.5%) |
157 (10.0%) |
||||
NJIANI |
|||||||||||||||
WAVULANA |
4 (0.4%) |
4 (0.6%) |
0 (0.0%) |
5 (0.9%) |
5 (0.6%) |
1 (0.4%) |
2 (0.4%) |
3 (0.4%) |
1 (0.2%) |
7 (0.6%) |
8 (0.5%) |
||||
WASICHANA |
5 (0.6%) |
4 (0.6%) |
2 (0.9%) |
3 (0.5%) |
5 (0.6%) |
1 (0.4%) |
3 (0.6%) |
4 (0.5%) |
3 (0.6%) |
6 (0.6%) |
9 (0.6%) |
||||
JUMLA |
9 (1.0%) |
8 (1.2%) |
2 (0.9%) |
8 (1.4%) |
10 (1.3%) |
2 (0.8%) |
5 (1.0%) |
7 (0.9%) |
4 (0.8%) |
13 (1.2%) |
17 (1.1%) |
||||
SHULENI |
|||||||||||||||
WAVULANA |
365 (40.6%) |
268 (39.6%) |
91 (41.4%) |
227 (40.0%) |
318 (40.4%) |
94 (35.3%) |
221 (42.3%) |
315 (40.0%) |
185 (38.1%) |
448 (41.1%) |
633 (40.2%) |
||||
WASICHANA |
422 (47.0%) |
346 (51.1%) |
90 (40.9%) |
264 (46.6%) |
354 (45.0%) |
153 (57.5%) |
261 (50.0%) |
414 (52.5%) |
243 (50.0%) |
525 (48.2%) |
768 (48.8%) |
||||
JUMLA |
787 (87.6%) |
614 (90.7%) |
181 (82.3%) |
491 (86.6%) |
672 (85.4%) |
247 (92.9%) |
482 (92.3%) |
729 (92.5%) |
428 (88.1%) |
973 (89.3%) |
1401 (89.0%) |
||||
Chanzo: Haki Elimu Tanzania.
Waandisi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu
hizi ni : –
John
Kabambala: [email protected]
Hamad
Rashid: [email protected]