Picha:bbc
Kwa mujibu wa Ripoti ya
utafiti wa Hali ya Ukatili kwa watoto Mashuleni Tanzania Bara, ya mwaka 2020 iliyotolewa na Haki Elimu Tanzania Mwezi machi 2021, Wanafunzi
262 sawa na 81.4% wa Shule za Msingi za Serikali na Binafsi
walifanyiwa ukatili wa Kisaikolojia wakati huo wanafunzi 336 sawa na 82.0% wa Shule za Sekondari za Serikali na Binafsi nao walifanyiwa
ukatili wa kisaikolojia katika kipindi cha miezi sita
kabla ya utafiti kufanyika.
Eneo lililofuatia ni Nyumbani
ambapo watoto waliohojiwa kati yao watoto 116
sawa na 15.8 %
walifanyiwa ukatili wa kisaikolojia wasichana wakiwa 73 na wavulana wakiwa 43.
Eneo la mwisho ni wakati wa kwenda au kurudi Shule
ambapo mahojiano yalifanyika na jumla ya wanafunzi wa Shule za Msingi na
Sekondari za Serikali na Binafsi 18 sawa na 2.5 % walisema
wamewahi kufanyiwa ukatili wa kisaikolojia wasichana wakiwa 4 na
wavulana 14.
Tazama Jedwali linafafanua zaidi.
JINSIA |
ENEO |
SHULE YA MSINGI |
SHULE YA SEKONDARI |
JUMLA |
|||||||
MJINI |
VIJIJINI |
BINAFISI |
SERIKALI |
JUMLA |
BINAFISI |
SERIKALI |
JUMLA |
BINAFISI |
SERIKALI |
JUMLA |
|
WALIPO FANYIWA UKATILI WA KISAIKOLOJIA |
|||||||||||
NYUMBANI |
|||||||||||
WAVULANA |
28 (14.7%) |
15 (11.6%) |
8 (21.6%) |
15 (13.5%) |
23 (15.5%) |
6 (13.0%) |
14 (11.1%) |
20 (11.6%) |
14 (16.9%) |
29 (12.2%) |
43 (13.4%) |
WASICHANA |
43 (17.1%) |
30 (18.6%) |
8 (17.4%) |
20 (15.6%) |
28 (16.1%) |
10 (13.3%) |
35 (21.5%) |
45 (18.9%) |
18 (14.9%) |
55 (18.9%) |
73 (17.7%) |
JUMLA |
71 (16.1%) |
45 (15.5%) |
16 (19.3%) |
35 (14.6%) |
51 (15.8%) |
16 (13.2%) |
49 (17.0%) |
65 (15.9%) |
32 (15.7%) |
84 (15.9%) |
116 (15.8%) |
NJIANI |
|||||||||||
WAVULANA |
9 (4.7%) |
5 (3.9%) |
2 (5.4%) |
5 (4.5%) |
7 (4.7%) |
0 (0.0%) |
7 (5.6%) |
7 (4.1%) |
2 (2.4%) |
12 (5.1%) |
14 (4.4%) |
WASICHANA |
0 (0.0%) |
4 (2.5%) |
0 (0.0%) |
2 (1.6%) |
2 (1.1%) |
0 (0.0%) |
2 (1.2%) |
2 (0.8%) |
0 (0.0%) |
4 (1.4%) |
4 (1.0%) |
JUMLA |
9 (2.0%) |
9 (3.1%) |
2 (2.4%) |
7 (2.9%) |
9 (2.8%) |
0 (0.0%) |
9 (3.1%) |
9 (2.2%) |
2 (1.0%) |
16 (3.0%) |
18 (2.5%) |
SHULENI |
|||||||||||
WAVULANA |
154 (80.6%) |
109 (84.5%) |
27 (73.0%) |
91 (82.0%) |
118 (79.7%) |
40 (87.0%) |
105 (83.3%) |
145 (84.3%) |
67 (80.7%) |
196 (82.7%) |
263 (82.2%) |
WASICHANA |
208 (82.9%) |
127 (78.9%) |
38 (82.6%) |
106 (82.8%) |
144 (82.8%) |
65 (86.7%) |
126 (77.3%) |
191 (80.3%) |
103 (85.1%) |
232 (79.7%) |
335 (81.3%) |
JUMLA |
362 (81.9%) |
236 (81.4%) |
65 (78.3%) |
197 (82.4%) |
262 (81.4%) |
105 (86.8%) |
231 (79.9%) |
336 (82.0%) |
170 (83.3%) |
428 (81.1%) |
598 (81.7%) |
Chanzo: Haki Elimu Tanzania.
Waandisi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu
hizi ni : –
John
Kabambala: [email protected]
Hamad
Rashid: [email protected]