Picha na Mtanzania.
Kwa mujibu wa Ripoti ya utafiti wa
Hali ya Ukatili kwa watoto Mashuleni Tanzania Bara, ya mwaka 2020 iliyotolewa
na Haki Elimu Tanzania Mwezi machi 2021, inaonesha kwa kipindi cha miezi sita kabala ya utafiti huo
kufanyika Asilimia 40.1% ya wanafunzi waliohojiwa wakiume wakiwa 38.2% na wakike 41.7% walisema walishawahi kufanyiwa ukatili wa
kisaikolojia.
Wanafunzi waathirika zaidi waliowahi kufanyiwa ukatili huo ni
wasichana ambao ni 49.5% wakitoka
katika Shule za Sekondari za wasichana kutoka Serikalini ilhali wavulana wakiwa 44.7% kutoka
Shule za Sekondari za
wavulana kutoka Serikalini.
Hata hivyo, Jumla ya
wanafunzi 322 walifanyiwa ukatili wa kisaikolojia kwenye shule za Msingi za Serikali
na Binafsi ilhali jumla ya wanafunzi 410 kutoka shule za Sekondari za Serikali na Binafsi nao walifanyiwa ukatili
wa kisaikolojia.
Aidha maeneo ya mijini ndio
yaliyoathirika zaidi kufanyia ukatili wa kisaikolojia kuliko vijijini katika
upande wote wa Shule za Msingi na Sekondari.
Jedwali hapo chini linafafanua maelezo
zaidi kuhusu ukatili wa kisaikolojia kenye Shule za Msingi na Sekondari mwaka
2020.
AINA |
JINSIA |
SHULE YA MSINGI |
SHULE YA SEKONDARI |
JUMLA |
|||||||
WAVULANA |
WASICHANA |
JUMLA |
WAVULANA |
WASICHANA |
JUMLA |
WAVULANA |
WASICHANA |
JUMLA |
|||
WALIO FANYIWA UKATILI WA KISAIKOLOJIA |
|||||||||||
KISAIKOLOJIA |
MJINI |
t |
104 (38.2%) |
193 (37.5%) |
102 (47.0%) |
147 (51.9%) |
249 (49.8%) |
191 (41.6%) |
251 (45.2%) |
442 (43.6%) |
|
VIJIJINI |
59 (29.5%) |
70 (34.1%) |
129 (31.9%) |
70 (39.3%) |
91 (40.1%) |
161 (39.8%) |
129 (34.1%) |
161 (37.3%) |
290 (35.8%) |
||
BINAFISI |
37 (30.6%) |
46 (33.3%) |
83 (32.0%) |
46 (40.7%) |
75 (41.4%) |
121 (41.2%) |
83 (35.5%) |
121 (37.9%) |
204 (36.9%) |
||
SERIKALI |
111 (34.6%) |
128 (37.8%) |
239 (36.2%) |
126 (44.7%) |
163 (49.5%) |
289 (47.3%) |
237 (39.3%) |
291 (43.6%) |
528 (41.5%) |
||
JUMLA |
148 (33.5%) |
174 (36.5%) |
322 (35.0%) |
172 (43.5%) |
238 (46.7%) |
410 (45.3%) |
320 (38.2%) |
412 (41.7%) |
732 (40.1%) |
||
Chanzo: Haki Elimu Tanzania.
Waandisi wa Habari na wachambuzi wa Takwimu
hizi ni : –
John
Kabambala: [email protected]
Hamad
Rashid: [email protected]