Picha:bongo5.
Katika
Ripoti ya matokeo ya utafiti wa Virusi vya UKIMWI ya 2016/2017 kutoka Tume ya
kudhibiti UKIMWI(TACAIDS) ikishirikiana na NBS, iliyohusisha mikoa 31 ya Tanzania Bara na Visiwani na
kutolewa Mwezi December, 2018 utafiti huo ulizifikia Kaya 14,811, ambapo watu
36,087 waliokua na umri wa zaidi ya miaka 15 na wazee, na watoto 10,452 wa umri
wa Mwaka 0 – 14.
Ripoti
ilieleza, Mama mjamzito anahatari zaidi ya kumuambukiza Virusi Vya UKIMWI Mtoto
kwa njia mbalimbali ikiwemo wakati wa Ujauzito, wakati wa kujifungua na kupitia
njia ya Unyonyeshaji.
Kwa
mujibu wa ripoti hiyo ya utafiti wa matokeo ya Virusi vya UKIMWI, Pasipo
kufanyika uchunguzi ripoti ilionesha kwamba kati ya 20% na 45% ya kiumbe
kilichopo tumboni mwa Mama mjamzito kuna uwezekano wa kupata maambuzi ya Virusi
vya UKIMWI, ambapo baada ya uchunguzi kufanyika inakadiriwa ni 5% mpaka 10%
ndio kiumbe aliyeko tumboni anaweza kupata maambuzi ya Virusi vya UKIMWI kutoka
kwa Mama mjamzito, ilhali 10% mapaka 20% Mama akiwa kwenye wakati wa kujifungua
na baada ya kujifungua anaweza kukiambukiza Virusi vya UKIMWI kiumbe kilichopo
tumboni na 5% mpaka 20% ni kupitia unyonyeshaji.
Katika jitihada za kubaini kupungua kwa
maambukizi mapya ya VVU kutoka kwa Mama kwenda kwa Mtoto, Jedwali hapo chini
linaonesha Mama wajawazito wenye Virusi vya UKIMWI wa umri wa miaka 15 – 49
waliokua wamejifungua miaka miatatu nyuma kabla ya utafiti kufanyika 2016/2017 walikua
wanahudhuria angalau mara moja kliniki ya utunzaji Ujauzito kabla ya
kujifungua.
MAENEO YA NCHI |
MAMA WAJAWAZITO AMBAO ANGALAU WALIHUDHURIA KLINIKI MOJA YA VVU KABLA |
ASILIMIA |
||
MAKAZI |
||||
MJINI |
1,780 |
99.3% |
||
VIJIJINI |
4,4 00 |
98 .7% |
||
TANZANIA BARA/ VISIWANI |
||||
TANZANIA BARA |
5,858 |
98.9% |
||
MJINI |
1,691 |
99.3% |
||
VIJIJINI |
4,167 |
98.7% |
||
TANZANIA VISIWANI |
322 |
100.0% |
||
UNGUJA |
219 |
100.0% |
||
PEMBA |
10 3 |
100.0% |
||
MIKOA |
||||
1 |
DODOMA |
106 |
99.2% |
|
2 |
ARUSHA |
82 |
98.6% |
|
3 |
KILIMANJARO |
69 |
98.4% |
|
4 |
TANGA |
101 |
90.0% |
|
5 |
MOROGORO |
141 |
99.3% |
|
6 |
PWANI |
298 |
100.0% |
|
7 |
DAR |
280 |
99.7% |
|
8 |
LINDI |
45 |
100.0% |
|
9 |
MTWARA |
50 |
100.0% |
|
10 |
RUVUMA |
315 |
100.0% |
|
11 |
IRINGA |
218 |
100.0% |
|
12 |
MBEYA |
241 |
99.6% |
|
13 |
SINGIDA |
68 |
100.0% |
|
14 |
TABORA |
691 |
97.6% |
|
15 |
RUKWA |
526 |
98.5% |
|
16 |
KIGOMA |
160 |
99.4% |
|
17 |
SHINYANGA |
442 |
98.6% |
|
18 |
KAGERA |
156 |
99.5% |
|
19 |
MWANZA |
224 |
98.7% |
|
20 |
MARA |
185 |
97.6% |
|
21 |
MANYARA |
94 |
100.0% |
|
22 |
NJOMBE |
151 |
98.0% |
|
23 |
KATAVI |
543 |
97.4% |
|
24 |
SIMIYU |
192 |
100.0% |
|
25 |
GEITA |
206 |
95.7% |
|
26 |
SONGWE |
274 |
99.0% |
|
27 |
KASKAZINI UNGUJA |
50 |
100.0% |
|
28 |
KUSINI UNGUJA |
37 |
100.0% |
|
29 |
MJINI MAGHARIBI |
132 |
100.0% |
|
30 |
KASKAZINI PEMBA |
48 |
100.0% |
|
31 |
KUSINI PEMBA |
55 |
100.0% |
|
Chanzo:
Tacaids Tanzania.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni : –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]