K
Picha: muungwana.co.tz
Kutoka
katika Ripoti ya matokeo ya Utafiti wa Virusi Vya UKIMWI ya 2016/2017
iliyofanywa na TACAIDS ikihusisha mikoa 31 iliyopo Tanzania Bara na Visiwani na
kutolewa Mwezi December, 2018 utafiti ulihusisha Kaya 14,811, ambapo watu
36,087 waliokua na umri wa zaidi ya miaka 15 na wazee pamoja na watoto 10,452
wa umri wa miaka 0 – 14 walihusishwa.
Kwa
mujibu wa ripoti hiyo ya Utafiti wa VVU, Katika jitihada za kubaini kupungua kwa
maambukizi mapya ya VVU kutoka kwa Mama kwenda kwa Mtoto, Jedwali hapo chini
linaonesha Mama wajawazito wenye Virusi vya UKIMWI wa umri wa miaka 15 – 49
waliokua wamejifungua miaka miatatu nyuma kabla ya utafiti kufanyika walikua
wanahudhuria angalau mara moja katika kliniki ya utunzaji Ujauzito kabla ya
kujifungua kwa kuangalia makundi ya Umri na Elimu zao kwa Kaya na watu
waliohojiwa.
MAKUNDI YA WANAWAKE WAJAWAZITO. |
MAMA WAJAWAZITO AMBAO ANGALAU WALIHUDHURIA KLINIKI |
ASILIMIA |
ELIMU. |
||
WASIOSOMA KABISA |
1,192 |
98.0% |
WALIOISHIA CHEKECHEA |
36 |
89.7% |
WALIOKUA SHULE YA MSINGI |
3,832 |
99.0% |
WALIOMALIZA MSINGI |
40 |
100.0% |
WALIOKUA SEKONDARI |
904 |
99.7% |
WALIOMALIZA SEKONDARI |
102 |
100.0% |
WALIOKUA ELIMU YA JUU |
17 |
|
WALIOMALIZA ELIMU YA JUU |
11 |
|
CHUO KIKUU. |
43 |
100.0% |
UMRI. |
||
15-19 |
605 |
99.5% |
20-24 |
1,720 |
99.3% |
25-29 |
1,585 |
98.6% |
30-34 |
1,102 |
98.4% |
35-39 |
767 |
99.4% |
40-44 |
340 |
98.8% |
45-49 |
61 |
97.8% |
Total 15-49 |
6,180 |
98.9% |
Chanzo:
Tacaids Tanzania.
Waandisi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni : –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]