Picha:habari za un.
TAKWIMU: KIWANGO CHA KUNYONYESHA
KIMESHUKA KWA MAMA WENYE VVU
Kwa mujibu wa Tume ya kudhibiti
UKIMWI Tanzania (TACAIDS) wanawake wa
kwanzia umri wa miaka 15-49 waliokua wameshazaa miaka mitatu kabla ya utafiti
kufanyika 91.6% walikua wakiwanyonyesha watoto wao wa mwisho kwa muda wa miezi
9-11.
Kiwango cha unyonyeshaji
kimeshuka kutoka 77.8% kwa watoto wa
mwisho kuzaliwa kabla ya utafiti wakinyonyeshwa kwa miezi 12-17 mpaka 44.5% kwa
watoto wa mwisho kuzaliwa kabla ya utafiti wakinyonyeshwa kwa miezi 18-23.
Aidha wanawake waliopimwa
nakugundulika walikua na VVU 43.3%
waliwanyonyesha watoto wao ilhali wasio kua na VVU 59.4% waliwanyonyesha
watoto wao katika kipindi cha utafiki kufanyika.
Jedwali hapo chini linafafanua asilimia ya watoto
waliozaliwa na wanawake wenye umri wa miaka 15-49 katika miaka mitatu
iliyotangulia utafiti kwa kuzingatia hali ya kunyonyesha, umri wa mtoto na hali
ya VVU ya akina Mama Mwaka 2016-2017.
MAKUNDI |
MAMA |
WASIONYOSHESHA |
WALIONYONYESHA |
NAMBA |
ASILIMIA |
UMRI WA MIEZI YA WATOTO KUNYONYA |
|||||
0-1 |
0.3% |
10.4% |
89.3% |
100.0% |
405 |
2-3 |
0.0% |
8.0% |
92.0% |
100.0% |
442 |
4-5 |
0.6% |
9.6% |
89.9% |
100.0% |
428 |
6-8 |
0.1% |
8.8% |
91.1% |
100.0% |
548 |
9-11 |
0.4% |
8.0% |
91.6% |
100.0% |
548 |
12-17 |
0.7% |
21.4% |
77.8% |
100.0% |
1177 |
18-23 |
0.3% |
55.2% |
44.5% |
100.0% |
933 |
24-36 |
0. |
94.0% |
5.9% |
100.0% |
164 |
MATOKEO YA VVU KWA AKINA MAMA. |
|||||
WALIOKUTWA |
1.5% |
55.2% |
43.3% |
100.0% |
311 |
WASIOKUTWA |
0.3% |
40.3% |
59.4% |
100.0% |
5633 |
WASIOPIMA |
0.2% |
48.8% |
51.0% |
100.0% |
200 |
JUMLA |
0.3% |
41.3% |
58.4% |
100.0% |
6144 |
Chanzo:
TACAIDS.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi: –
John
Kabambala: [email protected]
Hamad
Rashid: [email protected]