Huduma za kuzuia maambukizi ya
VVU kutoka kwa mama
kwenda kwa mtoto
(PMTCT),
zimeendelea kutolewa, ambapo kwa mwaka 2019, jumla ya akina mama wajawazito
2,232,500 sawa na asilimia 98 ya akina mama 2,272,866 walipatiwa huduma za
ushauri nasaha na upimaji wa VVU.
na asilimia 1.6 waligundulika kuwa
wanaishi na VVU. Akina mama
82,408 sawa na asilimia 91 ya akina mama wenye maambukizi ya VVU walipatiwa
dawa (ARV) kwa ajili ya kufubaza virusi vya UKIMWI.
sawa na asilimia 52 walipata kipimo cha awali cha utambuzi wa maambukizi ya VVU
ambapo watoto 1,128 sawa na asilimia 2.5 walikutwa na maambukizi ya VVU.
Tanzania ipo katika kasi sawia ya kuweza kufikia maambukizi chini ya asilimia 2
ifikapo mwaka 2021 kama inavyoainishwa katika mpango mkakati wa kutokomeza
kabisa maambukizi ya VVU kwa watoto.
Chanzo:Hotuba ya Wizara ya Afya maendeleo ya Jamii jinsia Wazee na Watoto ya mwaka 2019/2020.
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi: –
John
Kabambala: [email protected]
Hamad
Rashid: [email protected]