Kwa mujibu wa Ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za
Sekondari nchini ya mwaka wa Fedha 2019/2020, iliotolea na Ofisi ya Rais tawala
za mikoa na Serikali za mitaa- TAMISEMI inaonesha kiasi cha Ruzuku ziliotolewa
na serikali kwenda Shule za Sekondari za Serikali nchini, ambapo kwa upande wa
mkoa wa Morogoro Shule ya Sekondari Kihonda iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya
Morogoro imeongoza kupewa Ruzuku kubwa zaidi.
Jedwali hapo chini linaonesha Shule zilizoongoza
kupewa Ruzuku kubwa zaidi kwa kila Halmashauri ndani ya Mkoa wa Morogoro.
MKOA |
HALMASHAURI |
JINA LASHULE |
KIASI CHA RUZUKU |
MOROGORO |
Morogoro |
Kihonda |
Tshs.22,120,471 |
Kilosa |
Kidodi |
Tshs.14,303,385 |
|
Kilombero |
Mang’ula |
Tshs.14,274,399 |
|
Ifakara |
Kibaoni |
Tshs.13,203,294 |
|
Mvomero |
Nassoro |
Tshs.9,231,632 |
|
Gairo |
Chakwale |
Tshs.9,230,960 |
|
Morogoro |
Mikese |
Tshs.9,020,797 |
|
Malinyi |
Kipingo |
Tshs.8,364,170 |
|
|
Ulanga |
Nawenge |
Tshs.7,249,933 |
Chanzo: TAMISEMI
Waandishi wa Habari na wachambuzi
wa Taakwimu hizi ni: –
John
Kabambala: [email protected]
Hamad
Rashid: [email protected]