Kwa mujibu wa ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za
Sekondari nchini ya mwaka wa fedha 2019/2020, iliotolea na Ofisi ya Rais tawala
za mikoa na serikali za mitaa -TAMISEMI inaonesha kiasi cha Ruzuku iliotolewa
na serikali kwenda Shule za Sekondari zote nchini za Serikali.
Mkoa wa Geita una halmashauri Sita ambapo Shule ya
Katoro Sekondari iliopo katika halmashauri ya Wilaya ya Geita imeongoza kwa kupewa Ruzuku
kubwa zaidi kuliko Shule zingine zilizopo kwenye Mkoa huo,ikiwa ni zaidi ya
milioni 26 zilitengwa kwa kipindi
cha mwaka mmoja.
Jedwali hapo hapo chini linaonesha Shule zilizopewa
Ruzuku kubwa zaidi katika mkoa wa Geita.
MKOA |
HALMASHAURI |
JINA LASHULE |
KIASI CHA RUZUKU |
|
Geita |
Katoro |
Tshs.26,955,515 |
Geita |
Geita |
Tshs.21,145,656 |
|
Chato |
Buseresere |
Tshs.20,627,750 |
|
Bukombe |
Runzewe |
Tshs.19,210,548 |
|
Nyanghwale |
Msalala |
Tshs.11,975,266 |
|
Mbogwe |
Masumbwe |
Tshs.18,527,507 |
Chanzo: TAMISEMI
Waandishi wa Habari na wachambuzi
wa Taakwimu hizi ni: –
John
Kabambala: [email protected]
Hamad
Rashid: [email protected]