Picha:daily News.
Kwa mujibu wa ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za
Sekondari nchini ya mwaka wa fedha 2019/2020, iliotolewa na Ofisi ya Rais tawala
za mikoa na Serikali za mitaa -TAMISEMI inaonesha kiasi cha Ruzuku iliotolewa
na Serikali kwenda Shule za Sekondari zote nchini za Serikali.
Mkoa wa Dodoma wenye Halmashauri nane ambapo Shule
ya Dodoma Sekondari iliopo katika Halmashauri ya jiji imeongoza kwa kupewa
Ruzuku kubwa zaidi kuliko Shule zingine zilizopo kwenye mkoa huo,ikiwa ni zaidi
ya milioni 14 zilitengwa kwa kipindi
cha mwaka mmoja.
Jedwali hapo hapo chini linaonesha hali halisi ya
shule zilizopewa Ruzuku kubwa zaidi katika Mkoa wa Dodoma.
MKOA |
HALMASHAURI |
JINA LASHULE |
KIASI CHA RUZUKU |
DODOMA |
Dodoma |
Dodoma |
Tshs.14,019466 |
Kongwa |
Kibaigwa |
Tshs.12,922,520 |
|
Mpwapwa |
Kibakwe |
Tshs.11,414,899 |
|
Chamwino |
Chamwino |
Tshs.10,541,766 |
|
Kondoa |
Ula |
Tshs.9,531,096 |
|
Kondoa |
Abed.A.Karume |
Tshs.9,362,448 |
|
Chemba |
Soya |
Tshs.8,900,819 |
|
Bahi |
Mundemu |
Tshs.7,410,859 |
Chanzo: TAMISEMI
Waandishi wa Habari na wachambuzi
wa Taakwimu hizi ni: –
John
Kabambala: [email protected]
Hamad
Rashid: [email protected]