Kwa mujibu
wa Ripoti ya ukatili wa wanafunzi uwiano wa wanafunzi wa Shule za Msingi na
Sekondaeri waliofanyiwa ukatili wa kimwili wa kuchapwa viboko nyumbani,
inaonesha wanafunzi wa Shule za Msingi wanaongoza hasa wakike ukilinganisha na
wanafunzi walioko Sekondari.
Wanafunzi
wa Shule za Msingi waliofanyiwa ukatili wa kimwili kwa kuchapwa wakiwa Nyumbani
ni 59 sawa na 8.9 % huku wanafunzi waliofanyiwa ukatili wa aina hiyo upande wa
Shule za Sekondari wakiwa nyumbani ni 31 sawa na
3.4 %
Jedwali
hapo chini linaonesha uwiano wa wanafunzi waliochapwa mara nyingi kati ya
wanafunzi wa Shule za Msingi na wale wa Sekondari.
JINSI |
SHULE ZA MSINGI |
SHULE ZA SEKONDARI |
JUMLA KUU |
|
||||||
Binafsi |
Serikali |
jumla |
Binafsi |
Serikali |
jumla |
Binafsi |
Serikali |
jumla |
||
Me |
6 (5.0%) |
25 (7.8%) |
31 (7.0%) |
1 (0.9%) |
5 (1.8%) |
6 (1.5%) |
7 (3.0%) |
30 (5.0%) |
37 (4.4%) |
|
Ke |
6 (4.3%) |
34 (10.0%) |
40 (8.4%) |
8 (4.4%) |
17 (5.2%) |
25 (4.9%) |
14 (4.4%) |
51 (7.6%) |
65 (6.6%) |
|
Jumla |
12 (4.6%) |
59 (8.9%) |
71 (7.7%) |
9 (3.1%) |
22 (3.6%) |
31 (3.4%) |
21 (3.8%) |
81 (6.4%) |
102 (5.6%) |
Chanzo: Haki
Elimu
Waandishi wa
Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]