Kutoka
katika Ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za Sekondari nchini ya Mwaka wa Fedha
2019/2020, iliotolewa na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za mitaa
-TAMISEMI inaonesha kiasi cha Ruzuku iliotolewa na serikali kwenda Shule za
Sekondari za Serikali zote Tanzania Bara.
wa Mkoa wa Arusha, Shule ya Sekondari Ngarenaro
iliyopo Halmashauri ya Jiji la Arusha inaongoza kupewa Ruzuku kubwa kuzidi
Shule zote zilizopo Halmashauri za Mkoa huo, wakati Shule ya Sekondari Qurus kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Karatu
ikipewa Ruzuku ndogo zaidi kwa Mwaka wa Fedha wa 2019/2020 kama jedwali
linavyofafanua hapo chini.
MKOA. |
HALMASHAURI |
SHULE |
KIASI |
SHULE |
KIASI |
ARUSHA |
ARUSHA CC |
NGARENARO |
21,230,327 |
KORONA |
730,849 |
ARUSHA DC |
MRINGA |
18,794,886 |
LOKISITO |
1,508,992 |
|
KARATU DC |
KARATU |
8,625,473 |
QURUS |
482,719 |
|
LONGIDO DC |
LONGIDO |
16,786,591 |
MATALE |
827,180 |
|
MERU DC |
KISIMIRI |
12,251,959 |
MAJENGO KATI |
562,688 |
|
MONDULI DC |
IRKISONGO |
10,900,766 |
NANJA |
5,084,634 |
|
NGORONGORO DC |
NAINOKANOKA |
11,878,032 |
ARASHI |
4,118,829 |
TAMISEMI
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]