Kutoka
katika Ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za Sekondari nchini ya Mwaka wa Fedha
2019/2020, iliotolea na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za mitaa
-TAMISEMI ikionesha kiasi cha Ruzuku iliotolewa na serikali kwenda Shule za
Sekondari zote nchini za Serikali.
Upande
wa Mkao wa Kigoma, Shule ya Sekondari Nguruka iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza
inaongoza kupewa Ruzuku kubwa kuzidi Shule zote zilizopo Halmashauri za Mkoa wa
Kigoma wakati Shule ya Sekondari Kitanga ya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu ikipewa Ruzuku ndogo zaidi kwa Mwaka
wa Fedha wa 2019/2020 kama jedwali linavyofafanua hapo chini.
MKOA. |
HALMASHAURI |
SHULE |
KIASI |
SHULE |
KIASI |
KIGOMA |
BUHIGINE DC |
BUYENZI |
8,640,585 |
NYARUBONZA |
1,306,439 |
KAKONKO DC |
KAKONKO |
9,062,349 |
KASHOZA |
2,517,082 |
|
KASULU DC |
KASAGENZI |
10,044,871 |
KITANGA |
503,931 |
|
KASULU TC |
HWAZI |
12,603,023 |
MWIBUYE |
2,461,645 |
|
|
KIBONDO DC |
MALAGARASI |
10,336,500 |
MURUNGU |
2,335,500 |
|
KIGOMA DC |
MWANDIGA |
10,361,684 |
MKIGO |
3,300,456 |
|
KIGOMA MC |
BURONGE |
10,965,706 |
RUBUGA |
2,580,249 |
|
UVINZA DC |
NGURUKA |
13,183,057 |
LUGUFU BOYS |
3,353,211 |
Chanzo:
TAMISEMI
Waandishi
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –
John Kabambala: [email protected]
Hamad Rashid: [email protected]