Kutoka
katika Ripoti ya utoaji Ruzuku kwa Shule za Sekondari nchini ya Mwaka wa Fedha
2019/2020, iliotolea na Ofisi ya Rais tawala za mikoa na Serikali za mitaa
-TAMISEMI ikionesha kiasi cha Ruzuku iliotolewa na serikali kwenda Shule za
Sekondari zote nchini za Serikali.
Upande
wa Mkao wa Mbeya, Shule ya Sekondari Lufilyo iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya
Mbeya inaongoza kupewa Ruzuku kubwa kuzidi Shule zote zilizopo Halmashauri za Mkoa
wa Mbeya wakati Shule ya Sekondari Kikulyungu kutoka Halmashauri ya Sasyaka
ikipewa Ruzuku ndogo zaidi kwa Mwaka wa Fedha wa 2019/2020 kama jedwali
linavyofafanua hapo chini.
MKOA. |
HALMASHAURI |
SHULE |
KIASI |
SHULE |
KIASI |
MBEYA |
BUSOKELO |
LUFILYO |
21,235,963 |
MPATA |
1,243,791 |
CHUNYA DC |
LUPA |
10,842,765 |
IFUMBO |
1,511,121 |
|
KYELA DC |
KYELA |
14,995,584 |
LUSUNGO |
4,198,887 |
|
MBARALI |
RUJEWA |
17,137,239 |
IPWANI |
816,574 |
|
|
MBEYA CC |
LYOTO |
18,407,015 |
STELLA FARM |
1,949,705 |
|
MBEYA DC |
USONGWE |
20,476,926 |
SASYAKA |
270,409 |
|
RUNGWE DC |
KAYUKI |
11,550,469 |
KALENGO |
1,799,472 |
Chanzo:
TAMISEMI
wa Habari na wachambuzi wa Takwimu hizi ni: –